Usted buscó: muhanga (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

muhanga

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

shambulio la mabomu mawili ya kujitoa muhanga nchini niger yaua watu 23

Inglés

twin suicide car bombings in niger kill 23 · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

imetuonyesha kwamba mapambano ya upinzani, kujitoa muhanga na mapenzi ni sehemu ya wapalestina ambayo haitaweza kubadilika pamoja na dhiki zote zinazotusibu.

Inglés

it has shown us that resistance, courage and love are an integral part of the palestinian identity that will never change despite all the hardships we endure.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mmoja wa washiriki ni muhanga wa mauaji ya wayahudi yaliyofanywa na ma-nazi (holocaust) hedy epstein.

Inglés

amongst the participants is 84-year old holocaust survivor hedy epstien.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.

Inglés

benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

pamoja na hatua za mafanikio zilizofikiwa na nchi hiyo tangu kuondolewa kwa wa-taliban mwaka 2001, vyombo vingi vya habari vinavyoandika habari za afghanistan kwa ujeuri tu vimejikita katika masuala hasi kama vile milipuko ya mabomu, mashambulizi ya kujitoa muhanga na kujeruhiwa kwa watu.

Inglés

despite the progress made by the country since the ousting of the taliban in 2001, most media writing about afghanistan focus stubbornly on negative issues such as bomb blasts, suicide attacks, and casualties.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

gazeti la the hindu nchini india linasema, mpigania uhuru kwa wafuasi wake na gaidi wa kuogopwa kwa wengine, prabhakaran alikuwa anatafutwa na chombo cha polisi cha kimataifa, interpol, pamoja na mashirika mengine mengi tangu mwaka 1990 kwa makosa ya ugaidi, mauaji na jinai. “kabla dunia haijamsikia osama bin laden au al-qaeda, prabhakaran alianza kutumia mbinu mpya ya vita, mabomu ya kujilipua kwa kujitoa muhanga.

Inglés

the hindu in india says, "a 'freedom fighter' for his supporters and a dreaded terrorist for others, prabhakaran was wanted by interpol and many other organisations since 1990 for terrorism, murder and organised crime." long before the world was aware of osama bin laden or al-qaeda, prabhakaran started to use a new method of guerrilla warfare, suicide bombing.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,738,713,539 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo