Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
ilikuwa mpaka mwanaharamu anayeitwa “neil van schalkwyk, mmiliki mwenza wa masincedane sport, inayozalisha mavuvuzela ya plastiki, aliposhinda tuzo ya sab kicksrart ya mwaka 2001, ambayo ni mradi wa kuwasaidia wajasiriamali kwa kutoa misaada na mwongozo katika kuanzisha biashara.” ndipo vuvuzela lilipoanza kujulikana.
it was only when some bastard called “neil van schalkwyk, the co-owner of masincedane sport, which manufactures the plastic vuvuzela, won the sab kickstart award in 2001, which is an sab-run project that assists entrepreneurs by providing grants and mentorship during the start-up phase of business.” that the vuvuzela really started making an impact.