Usted buscó: unapaswa (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

unapaswa

Inglés

ان

Última actualización: 2022-12-22
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

lakini unapaswa kufafanua mawazo yako

Inglés

but you should clarify your ideas

Última actualización: 2024-04-18
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

unapaswa kumtafuta daktari mzuri wa wanyama.

Inglés

you should see a good veterinarian

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

je, muda wa karantini unapaswa kuongezwa hadi siku 24?

Inglés

should the quarantine time be extended to 24 days?

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ukaribu wa kifamilia unapaswa kuwa ni wa hisia za hiari.

Inglés

family bonds should be based on spontaneous emotions.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

tafadhali baba unapaswa kuja na ziara karibu na mimi katika shule siku hiyo

Inglés

please daddy you should come and tour around with me at school on that day

Última actualización: 2023-09-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mwingiliano wa matibabu haya na dawa nyingine zilizotumika kwa wagonjwa unapaswa kufuatiliwa kwa makini.

Inglés

the interaction of these treatments with other drugs used in the patients should be monitored carefully.

Última actualización: 2024-04-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kushirikiwa haraka kwa utaratibu huu unapaswa kuwezesha uhakiki wa kisanyansi na mafunzo ya pamoja.

Inglés

rapid sharing of this protocol should enable scientific critique and shared learning.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

"sihitaji mshahara huo, ambao unapaswa kumilikiwa na masikini," alisema lugo.

Inglés

"i don't need that salary, which belongs to the poor," said lugo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

pia, athari za kimatibabu zikiangaziwa, baadhi upungufu unaohusiana na plasma unapaswa kuzingatiwa kwa makini.

Inglés

in addition, given the therapeutic effects, some disadvantages associated with the plasma should be considered carefully.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mpango wa indonesia wa kusimika orodha marufuku ya kwenye intaneti unapaswa ufuatiliwe kutokana na athari zake kwenye eneo hilo.

Inglés

indonesia’s plan to enforce an internet blacklist should be monitored because of its impact in the region.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

nahitaji kushinda vita hivi ili kuhakikisha kwamba najiweka katika nafasi nzuri na unapaswa kujua kwamba mwenye kisu kikali ndio akaekula nyama nyingi

Inglés

Última actualización: 2023-12-07
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ufuatiliaji wa wagonjwa walio katika hali ya chini ya hatari unapaswa kuwa kigezo cha wakati tumefikia upeo huu na wakati viwango vya maambukizi vimeanza kupungua.

Inglés

surveillance of low-risk patients should inform when we reach this tipping point and when infection rates start to remit.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

msaada wa dharura unapaswa bado kupatikana, ijapokuwa inawezekana unaweza kulazimika kuwasiliana na ubalozi kwa mbali ikiwa ile iliyo karibu na wewe imefungwa.

Inglés

emergency assistance should still be available, though it's possible you may have to contact a further-away consulate if your local one has shut down.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo ya sars, mers na covid-19, hali ya kujitayarisha vyema na mpango wa kukabiliana unapaswa kuwekwa.

Inglés

with the ordeals of sars, mers and covid-19, a better preparedness and response plan should be in place.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

unapaswa kuepuka tabia ya kujigawia chakula kutoka kwa sahani moja kwa kutumia vijiti vyako mwenyewe vya kulia, jambo la kawaida sana uchina. inapaswa kuepukwa.

Inglés

the practice of serving yourself from a common plate with your own chopsticks, common in china, should be avoided.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

unapaswa kujiunga na mtandao huu bila ya kuwa na mategemeo fulani, bila ya kukisia kile utakacho kikuta, kama jinsi ukutanavyo na marafiki, pale mada moja inavyopelekea kutokea kwa mada nyingine.

Inglés

you have to enter without preconceptions, without imagining what you will find, as when meeting friends, where one topic leads to another.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ilhali anaikubali nafasi ya muziki wa dancehall katika jamii ya kijamaika na umuhimu wake katika utamaduni maarufu, anahisi kwamba muziki wa dancehall unawajibika kwa jamii iliyoikuza na unapaswa kubadili sura yake…

Inglés

while he acknowledges the place of dancehall music in jamaican society and its importance as the centre of popular culture, he feels that dancehall has a responsibility to the society from which it springs to reform its image...

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ili kukomesha mikurupuko ya mara kwa mara ya mers, mwelekeo tondoti unapaswa kuchukuliwa ili kuunda chanjo inayofaa dhidi ya mers-cov kwa ngamia, pamoja na mikakati mingine ya kudhibiti maambukizi.

Inglés

to stop the recurrent outbreaks of mers, a comprehensive approach should be taken to develop effective vaccines against mers-cov for camels, in combination with other infection control measures.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa mujibu wa mohammed hagos, mradi wa demokrasi katika eritrea unapaswa uanze kwa kuuondoa madarakani utawala uliopo sasa: "kikwazo kinachowazuia watu wa eritrea kujieleza ni utawala wa issayas.

Inglés

according to mohammed hagos, democracy project in eritrea has to start with the removal of the current regime: "the hurdle preventing the eritrean people from having their say is the issayas regime.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,739,734,299 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo