Preguntar a Google

Usted buscó: utatuzi (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

Itawezesha utatuzi wa pato

Inglés

Enables debug output

Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Suajili

Posti hiyo hiyo inapendekeza utatuzi wa kibunifu zaidi.

Inglés

The same post suggests a more creative solution.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Namna Mills anavyodhibiti nia za mashabiki wake na Waghana kwa ujumla ni utatuzi wa matatizo haya.

Inglés

The way Mills manages the aspirations of his own supporters and Ghanaians in general is the solution to these problems.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Visa viwili vya uvunjaji nyumba kwa mabavu vimeibua hisia za kutaka kulindwa zaidi kwa haki za raia na utatuzi wa migogoro nchini Uchina.

Inglés

A recent case of forced demolition has raised attention to the protection of citizens’ rights and fair conflict resolution in China.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Kwa kutumia vyenzo hizi, watu wa kawaida wanaweza kujifunza zaidi kuhusu athari, na kusaidia kuwashinikiza wanaofanya maamuzi kushughulikia utatuzi.

Inglés

Using these tools, ordinary people can learn more about the effects, and help push decision makers to deal with solutions.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

"Ulinzi binafsi wa barua pepe ni sehemu muhimu ya utatuzi wa tatizo la kufuatiliwa mawasiliano," FSF linasema:

Inglés

"Email Self-Defense is only one important piece of the solution to bulk surveillance," FSF states:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

Kwanza, tuna video ya mtandaoni iliyopandishwa na El Basureo, ambamo wanapendekeza utatuzi wa maana kwa tatizo kongwe la muda mrefu la kutokujua nani wa kumpigia kura.

Inglés

First, we have an online video uploaded by El Basureo , where they propose an innovative solution to the age old problem of not knowing whom to vote for.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Kwa mfano, kwa utatuzi huu –kama tutaukubali kwa sababu ya majadiliano –Naijeria kwa sasa inayo marais wawili –japokuwa mmoja ndiye anayefanya kazi.

Inglés

For instance, by this resolution - if we accept it for arguments sake - Nigeria now has two Presidents -though one is acting.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Kuna utatuzi wa ugaidi wa Boko haram?"Kwa kweli hakuna suluhisho, kinachowezekana ni kupunguza mfululizo wa mashambulizi yao. — MaXiNze (@LovBwise) April 16, 2014

Inglés

Twitter activists can we please protest this weekend against the sponsors of boko haram? — MaXiNze (@LovBwise) April 16, 2014

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

"@9ja_travel: Kuna utatuzi wa ugaidi wa Boko haram?"Kwa kweli hakuna suluhisho, kinachowezekana ni kupunguza mfululizo wa mashambulizi yao. — kolawole olawole (@kholarr_ola) April 16, 2014

Inglés

"@9ja_travel: solution to this Boko haram terrorism?"There is really no solution, d spate of their activities can only be reduced. — kolawole olawole (@kholarr_ola) April 16, 2014

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

Hayo hayo…Ninajiuliza ni lini watu wataapocha kuamini na kuanza kutenda… Hatuhitaji hotuba za matumaini na ahadi –zinazopumbaza watu, kwamba matatizo yao yatatatuliwa –wategemee utatuzi.

Inglés

The same rhetoric... I wonder when people stop believing and start acting... We don't need speeches on hope and pledges -they serve to anesthetize the population, that their problems shall be solved -they should hope for the solutions.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Mkakati wa kufunga barabara unaotumiwa na wazawa na jumuiya za campesino kama namna ya hamasa za kisiasa na kama namna ya kuhamasisha utatuzi wa changamoto zao unapingwa vikali na taifa pamoja na mkundi yenye ushawishi mkubwa wa kiuchumi haswa haswa kundi la watu wafanyabiashara la CACIF*, ambalo limeshahamasisha kuwashikilia watu kama namna ya kukiuka haki ya watu kuwa na uhuru wa kutembea.

Inglés

The strategic use of roadblocks by indigenous and campesino organizations as form of political pressure and re-vindication is harshly contested by the state and powerful economic actors, especially the business lobby CACIF*, which has campaigned for the prohibition and repression of blockades as violations of the right to freedom of movement.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo