Usted buscó: wiki hii naweza kusafiri (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

wiki hii naweza kusafiri

Inglés

this week i can travel

Última actualización: 2014-04-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika toleo la wiki hii la gvface, nilizungumza na:

Inglés

in this week's episode of gvface, i spoke to:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wiki hii ijayo tutafuatilia maelekezo ya ziada kwenye wikimania na makongamano mengine ya kimkoa na jamii ya mada.

Inglés

this coming week we will follow up with additional guidance on wikimania and other regional and thematic community conferences.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

matukio ya wiki hii yanashuhudia kwamba mazingira ya kisiasa nchini sudan kusini bado yana uwezekano wa kusababisha kushirikishwa kwa wanajeshi.

Inglés

the political environment in south sudan, as the events of this week testify, remains vulnerable to the mobilisation of armed force.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wiki hii, bango kubwa liliwekwa jijini lomé, togo kusifia kitendo cha rais kutoa chakula cha mchana kwa watoto.

Inglés

this week, a giant billboard was raised in lomé, togo that praised the president's action in favor of providing lunch for school children.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ili kuuelimisha umma zaidi, wiki hii wateraid ilitangaza uzinduzi wa zana mpya ya kutafutia vyoo nchini uingereza ya simu za mkononi za iphone.

Inglés

to further increase awareness, wateraid announced the launch of its new toiletfinder uk app for iphone users this week.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

video ya vinjari zilizopendelewa bora za youtube. video ya kagua zilizopendelewa bora leo leo, wiki hii, mwezi huu au wakati wote.

Inglés

vinjari video zilizopendelewa bora za youtube. kagua video zilizopendelewa bora kuanzia leo, wiki hii, mwezi huu au wakati wote.

Última actualización: 2020-12-31
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa sababu ya umuhimu wa misheni hii na kazi yako kwake, tutakuwa tukifanya baadhi ya marekebisho muhimu kuhusu jinsi tunavyofanya kazi pamoja, kuanzia wiki hii ijayo.

Inglés

because of the importance of this mission and your role in it, we will be making some significant adjustments to how we work together, starting this coming week.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika toleo la wiki hii tunazungumza na allan a maryam kuhusiana na harakati zao, mapambano wanayokabiliana nchini bahrain na misri pamoja na matumaini yao yanayowafanya wawe na moyo imara kuhusiana na mustakabali wa nchi yao.

Inglés

in this episode we talk to alaa and maryam about their activism, the struggles they face in bahrain and egypt and the hopes that keeps them resilient about their country's future.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wiki hii, kitabu cha ramani za lugha cha unesco kilitolewa, na kudai kwamba ki-galisia ni moja ya lugha zenye nguvu ambazo si lugha kuu katika nchi yoyote.

Inglés

this week, the unesco atlas of world languages was released, regarding galician as a strong language among those that are not the main languages of any country.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inataarifiwa kuwa watu 500,000 wameshindwa kutoka katika vijiji wanavyoishi huku wakikosa huduma ya umeme, nishati ya gesi pamoja na maji hali iliyotokana na kutanda kwa theluji mwisho wa wiki hii kaskazini mwa nchi ya iran katika majimbo ya, gilan na mazandaran.

Inglés

500,000 people are reportedly trapped in villages without electricity, gas or water after a massive snow storm this weekend in iran's northern provinces, gilan and mazandaran.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

lakini wiki hii foleni ndefu zilionekana nje ya ofisi za kutuma na kupokea pesa, kama vile katika ofisi hii ya cam katika carrefour, kusini-mashariki ya port au prince, kama ilivyopigwa picha na georgia poppelwell.

Inglés

but this week long lines were visible outside money transfer offices, such as this cam office in carrefour, southeast of port au prince, photographed by gv's georgia poppelwell.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jukwaa la sayansi duniani (wsf) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi katika maamuzi ya kisiasa na kiuchumi.

Inglés

the world science forum (wsf) gathers hundreds of scientists from all around the world this week in brazil, to discuss their role in the 21st century and to emphasize the importance of scientific advice in political and economical decisions.

Última actualización: 2024-04-11
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,762,943,043 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo