Usted buscó: zikiwa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

zikiwa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

documents zote zimepokelewa zikiwa

Inglés

all documents received while sahihi.

Última actualización: 2023-03-23
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

norman anguzu alitwiti picha ya ndege hizo zikiwa angani:

Inglés

norman anguzu tweets a pic of the jets in air:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

faharasa zote tatu zilifunga wiki zikiwa chini kwa zaidi ya 10%.

Inglés

all three indexes ended the week down more than 10%.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

sarafu za kale kutoka syria zikiwa kwenye mnada kwenye mtandao wa facebook.

Inglés

looted ancient coins from syria on sale on facebook.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ishara za kimatibabu za mers zinafanana na zile za sars, zikiwa na sifa ya nimonia kali inayoendelea.

Inglés

clinical manifestations of mers resemble those of sars, characterized by progressive acute pneumonia.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kila kona za mitaa utaona bendera zikiwa na nembo za timu husika, ilimradi tu kuwachanganya wapizani.

Inglés

street corners sprout flagpoles carrying the teams' logos, marking a neighbourhood's affiliation.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kama ilivyo kwa poonam mahajan, deora vile vile ana ukurasa wa facebook na twita zikiwa zimeunganishwa kutoa taarifa zake.

Inglés

like bjp’s poonam mahajan, deora too has his facebook and twitter pages linked, with one feeding information into the other.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kama mkazi wa jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari, huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu.

Inglés

as a jakartan who used to stuck in traffic, i tend to be panicky if the streets are quiet and deserted look-alike.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kuaga huku kulikotawaliwa na machozi kulikofanya na musharraf mnamo tarehe 18 agosti mwaka huu kulikuja zikiwa zimepita siku nne tu tangu taifa liadhimishe sherehe za miaka 61 ya uhuru.

Inglés

the tearful good bye on the 18th of august by musharraf came barely four days after the celebrations of the 61st independence day.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

alitaja kwamba karatasi shashi ni bidhaa kubwa, inayosababisha idadi ndogo ya bidhaa na zikiuzwa, huacha sehemu kubwa za rafu zao zikiwa tupu na kuongeza hisia ya upungufu.

Inglés

he remarked toilet paper is a bulky item, leading to low quantity of stocks in numbers, and, when sold out, leaves vast shelf spaces empty, hardening the feeling of a shortage.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ingawa shule nyingi za msingi na sekondati zikiwa zimefunwa kote ulimwenguni kutokana na covid-19, hatua zinazoathiri mipango ya masomo ya chekechea zimekuwa tofauti.

Inglés

while many primary and secondary schools have closed around the world due to covid-19, measures impacting early childhood educational programmes have varied.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

baadhi ya blogu maarufu zaidi barani afrika zinatoka cameroon, baadhi zikiwa zinaratibiwa na na muungano wa wanablogu uitwao “collectif des blogueurs camerounais."

Inglés

some of africa’s best blogs come from cameroon, some of whom are organized in the “collectif des blogueurs camerounais."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

hii imepelekea kuandaliwa kwa matoleo mawili ya video yaliyowahusisha waandaaji kadhaa wa filamu ambao ni wazawa na pia, zikiwa zimesheheni habari za kipekee za kijamii, kitamaduni, pamoja na hali ya kisiasa ya papua ya magharibi.

Inglés

the result was a two-volume video featuring various local filmmakers and unique stories about the social, cultural, and political situation in west papua.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

huku zikiwa zimebaki saa chache tu kufikia uchaguzi mkuu wa 2011 (kabla uchaguzi haujaahirishwa), yupo mtu mmoja aliyebeba ufunguo wa kuendelezwa ama kusitishwa kwa mapinduzi ya kijamii kupitia sanduku la kuranchini naijeria.

Inglés

this post is part of our special coverage nigeria elections 2011. with the 2011 general elections barely hours away, one man holds the key to the eternal propagation or termination of the social revolution through the ballot box in nigeria.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hatua chache kutoka hapo, katika chumba kidogo cha kuhifadhia vifaa vya madaktari, wahudumiaji walipageuza kuwa mahali pa kuhifadhia miili ya watu, kulikwa na miili 6 iliyokuwa imelazwa sakafuni, baadhi ya maiti nguo zikiwa zimechanwachanwa na nguvu ya milipuko.

Inglés

a few feet away in a small storage locker, staff had created a makeshift morgue, 6 bodies lay on the tiles, some had their clothes blown off.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

data kutoka visa vya covid-19 vilivyothibitishwa kwenye mahabara zilizoripotiwa kwa cdc kutoka majimbo 50, himaya nne za marekani na visiwa husiani, wilaya ya kolombia na jiji la new york zikiwa na tarehe za kuanza baina ya 12 februari - 28 machi 2020, zilichanganuliwa.

Inglés

data from laboratory-confirmed covid-19 cases reported to cdc from 50 states, four u.s. territories and affiliated islands, the district of columbia, and new york city with february 12–march 28, 2020 onset dates were analyzed.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,779,024,341 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo