Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
al sisi vile vile alitangaza kwamba katiba ya misri imesimamishwa na kwamba maandalizi yatafanywa kwa ajili ya uchaguzi wa rais na wabunge.
inoltre, il generale al sisi ha annunciato che la costituzione egiziana è stata sospesa e che si darà presto il via ai preparativi per le elezioni presidenziali e parlamentari.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
baada ya kuchaguliwa kwa mara nyingine mwezi novemba 2011, rais paul biya wa cameroon alitangaza kwamba ndani ya muda mfupi, nchi yake ingeongoza kwa kuwa “eneo la ujenzi”.
il presidente del camerun, paul biya , dopo la sua rielezione a novembre 2011, ha annunciato che il paese ospiterà a breve "vasti cantieri per la costruzione di nuove infrastrutture".
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
" “mtangazaji habari wa zamani wa televisheni ya misri na mwanaharakati bothaina kamel alitangaza kwenye ukurasa wake wa twita usiku wa ijumaa saa za cairo kwamba ana mipango ya kugombea urais kwenye duru inayofuata ya uchaguzi, na kumfanya awe mwanamke wa kwanza kutangaza nia ya kutaka kuingia kwenye ofisi kuu nchini misri", manar ammar
venerdì , in tarda serata, l'ex conduttrice televisiva e attivista egiziana bothaina kamel ha espresso via twitter l'intenzione di candidarsi alle prossime elezioni presidenziali, diventando la prima donna nella storia dell'egitto a correre per la carica di presidente.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible