Usted buscó: ufufuo (Suajili - Italiano)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Italian

Información

Swahili

ufufuo

Italian

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Italiano

Información

Suajili

na kwamba ni juu yake ufufuo mwengine.

Italiano

e che a lui incombe l'altra creazione,

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kama hakuna ufufuo wa wafu, basi, kristo naye hakufufuka;

Italiano

se non esiste risurrezione dai morti, neanche cristo è risuscitato

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

masadukayo wasemao kwamba hakuna ufufuo walimwendea yesu, wakamwuliza,

Italiano

vennero a lui dei sadducei, i quali dicono che non c'è risurrezione, e lo interrogarono dicendo

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lakini wale ambao mungu atawawezesha kushiriki ule wakati wa ufufuo, hawataoa wala kuolewa.

Italiano

ma quelli che sono giudicati degni dell'altro mondo e della risurrezione dai morti, non prendono moglie né marito

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mafundisho juu ya ubatizo na kuwekewa mikono; ufufuo wa wafu na hukumu ya milele.

Italiano

della dottrina dei battesimi, dell'imposizione delle mani, della risurrezione dei morti e del giudizio eterno

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

martha akamjibu, "najua kwamba atafufuka wakati wa ufufuo, siku ya mwisho."

Italiano

gli rispose marta: «so che risusciterà nell'ultimo giorno»

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

yesu akamwambia, "mimi ndimi ufufuo na uzima. anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi:

Italiano

gesù le disse: «io sono la risurrezione e la vita; chi crede in me, anche se muore, vivrà

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

(wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka elfu moja itimie.) huu ndio ufufuo wa kwanza.

Italiano

gli altri morti invece non tornarono in vita fino al compimento dei mille anni. questa è la prima risurrezione

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hawa wamepotoka kabisa mbali na ukweli, na wanatia imani ya watu wengine katika wasiwasi kwa kusema ati ufufuo wetu umekwisha fanyika.

Italiano

i quali hanno deviato dalla verità, sostenendo che la risurrezione è gia avvenuta e così sconvolgono la fede di alcuni

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ndivyo ilivyo kuhusu ufufuo wa wafu. kama vile mbegu, mwili huzikwa ardhini ukiwa katika hali ya kuharibika, lakini hufufuliwa katika hali ya kutoharibika.

Italiano

così anche la risurrezione dei morti: si semina corruttibile e risorge incorruttibile

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ambayo yalikuwa mfano wa ubatizo unaowaokoa ninyi sasa. ubatizo si shauri la kuondoa uchafu mwilini, bali ni ahadi kwa mungu inayofanyika katika dhamiri njema. huwaokoeni kwa njia ya ufufuo wa yesu kristo,

Italiano

figura, questa, del battesimo, che ora salva voi; esso non è rimozione di sporcizia del corpo, ma invocazione di salvezza rivolta a dio da parte di una buona coscienza, in virtù della risurrezione di gesù cristo

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wameneemeka sana, tena heri yao wote wanaoshiriki ufufuo huu wa kwanza. kifo cha pili hakitakuwa na nguvu juu yao; watakuwa makuhani wa mungu na wa kristo, na watatawala pamoja naye kwa miaka elfu moja.

Italiano

beati e santi coloro che prendono parte alla prima risurrezione. su di loro non ha potere la seconda morte, ma saranno sacerdoti di dio e del cristo e regneranno con lui per mille anni

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

paulo, mtumwa wa yesu kristo aliyeitwa kuwa mtume, aliyetengwa kwa ajili ya habari njema ya mungu, aliyoahidi kimbele kupitia manabii wake katika maandiko matakatifu, kuhusu mwana wake, aliyetokana na uzao wa daudi kulingana na mwili, lakini ambaye kwa nguvu alitangazwa kuwa mwana wa mungu kulingana na roho ya utakatifu kwa njia ya ufufuo kutoka kwa wafu — ndiyo, yesu kristo bwana wetu, ambaye kupitia yeye tulipokea fadhili zisizostahiliwa na utume ili kuwe na utii wa imani kati ya mataifa yote kuhusu jina lake, mataifa ambayo kati yake ninyi pia ni wale walioitwa kuwa wa yesu kristo — kwa wale wote walio katika roma wakiwa wapendwa wa mungu, walioitwa wawe watakatifu:

Italiano

paolo, schiavo di gesù cristo e chiamato ad essere apostolo, separato per la buona notizia di dio, che egli aveva promesso anteriormente nelle sacre scritture per mezzo dei suoi profeti, riguardo al figlio suo, che secondo la carne sorse dal seme di davide, ma secondo lo spirito di santità fu dichiarato con potenza figlio di dio per mezzo della risurrezione dai morti — sì, gesù cristo nostro signore, per mezzo del quale abbiamo ricevuto immeritata benignità e apostolato affinché ci sia ubbidienza di fede riguardo al suo nome fra tutte le nazioni, fra le quali siete anche voi, chiamati ad appartenere a gesù cristo — a tutti quelli che sono a roma come diletti di dio, chiamati ad essere santi:

Última actualización: 2013-03-20
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Obtenga una traducción de calidad con
7,747,832,055 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo