Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu.
dissensio itaque facta est in turba propter eu
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kukawa tena na mafarakano kati ya wayahudi kwa sababu ya maneno haya.
dissensio iterum facta est inter iudaeos propter sermones ho
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye.
hereticum hominem post unam et secundam correptionem devit
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
awali ya yote, nasikia kwamba mnapokutana pamoja hutokea mafarakano kati yenu. nami naamini kiasi,
primum quidem convenientibus vobis in ecclesia audio scissuras esse et ex parte cred
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hao ndio watu wanaosababisha mafarakano, watu wanaotawaliwa na tamaa zao za kidunia, watu wasio na roho wa mungu.
hii sunt qui segregant animales spiritum non habente
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.
veni enim separare hominem adversus patrem suum et filiam adversus matrem suam et nurum adversus socrum sua
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, choyo, mabishano, mafarakano;
idolorum servitus veneficia inimicitiae contentiones aemulationes irae rixae dissensiones secta
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ndugu zangu, nawasihi muwafichue wote wanaosababisha mafarakano na kuwafanya watu wengine waanguke, kinyume cha mafundisho mliyofundishwa. jiepusheni na watu hao,
rogo autem vos fratres ut observetis eos qui dissensiones et offendicula praeter doctrinam quam vos didicistis faciunt et declinate ab illi
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ndugu, ninawasihi kwa jina la bwana wetu yesu kristo: pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko mafarakano kati yenu; muwe na fikira moja na nia moja.
obsecro autem vos fratres per nomen domini nostri iesu christi ut id ipsum dicatis omnes et non sint in vobis scismata sitis autem perfecti in eodem sensu et in eadem sententi
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
baadhi ya mafarisayo wakasema, "mtu huyu hakutoka kwa mungu, maana hashiki sheria ya sabato." lakini wengine wakasema, "mtu mwenye dhambi awezaje kufanya ishara za namna hii?" kukawa na mafarakano kati yao.
dicebant ergo ex pharisaeis quidam non est hic homo a deo quia sabbatum non custodit alii dicebant quomodo potest homo peccator haec signa facere et scisma erat in ei
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible