Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
we run towards lapa and learned they were throwing tear gas even at the children who were playing there, so we went via avenida chile to cinelandia.
tulikimbia kuelekea lapa na tulitambua kuwa walikuwa wakiwarushia mabomu ya machozi hata watoto wadogo waliokuwa wanacheza pale, kwa hiyo tulienda kwa kupitia avenida chile kwenda cinelandia.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
they threw bombs at us, from the city hall to the sambadrome, they trapped us at avenida presidente vargas, we were able to go to praça tiradentes and there we saw on the tv in a bar, the riot troops were going there.
waliturushia mabomu, kutoka kwenye ukumbi wa jiji hadi kwenye sambadrome, walituzuilia kwenye avenida presidente vargas, tuliweza kufika praça tiradentes na tukiwa pale, tuliwaona wanajeshi wa kutuliza ghasia kupitia televisheni iliyokuwepo hapo kwenye baa wakielekea huko.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :