Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
and also needs to be checked your cholesterol blood pressure
na pia kiwango chako cha kolesteroli na shinikizo la damu linapaswa kupimwa
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
any news from blogs must be checked against other sources.
habari zozote katika blogu ni lazima zihakikishwe kwa kutumia vyanzo vingine vya habari.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
last time i checked, his son, kimathi works with fidelity bank.
mara ya mwisho nilipoangalia, mwanawe wa kiume, kimathi, anafanya kazi na benki ya fidelity.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
observation from the field can be double-checked from high ground.
uchunguzi kutoka kwenye konde unaweza kuangaliwa mara mbili kutoka kwenye uwanda wa juu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
i have often mentally checked my teeth for visible spinach; perhaps the joke is on me?
nimeangalia mara nyingi kwa tafakuri kwenye meno yangu kama kuna mabaki ya mboga za majani; labda nafanyiwa utani mimi mwenyewe?
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
it's great that the depot lights are being checked and upgraded so that they don't become a constant turn off.
ni vizuri kwamba taa za depot kuwa zinaangaliwa na kuboreshwa ili yasiwe ya kuzima mara kwa mara
Dernière mise à jour : 2023-05-11
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
if you do find a way back home, be prepared that it may be expensive, inconvenient, and have unusual restrictions (such as no checked baggage).
ukipata njia ya kurudi nyumbani, jiandae kwamba inaweza kugharimu sana, usumbufu, na ina vikwazo visivyo vya kawaida (kama vile hakuna kubeba mizigo).
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
i even walked in front of government buildings and ministries, as if that was the most normal thing to do. no one stopped me from being there, no one checked my documents, and no one made me feel like there was something to fear.
pia nilipita katika majengo ya serikali na ya wizara mbalimbali, kana kwamba hilo lilikuwa ni jambo la kawaida kabisa. hakuna aliyenikataza kuwepo maeneo yale, hakuna aliyetaka kuangalia taarifa zangu, na hakuna yeyote aliyetaka kunifanya nihisi kuwa kulikuw na jambo la kuogopa.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
we’ve checked your number of follows and likes and didn’t find any unusual activity. learn more tips to increase your followers here. there is also an advertising tool “promote” that can help you get your posts discovered by more people.
tumeangalia idadi yako ya wafuasi na wanaopenda na hatukupata shughuli yoyote isiyo ya kawaida. pata vidokezi zaidi vya kuongeza wafuasi wako hapa. pia kuna nyenzo ya matangazo "tangaza" ambayo inaweza kukusaidia kugundua machapisho yako na watu zaidi.
Dernière mise à jour : 2024-11-17
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent