Vous avez cherché: initial (Anglais - Swahili)

Anglais

Traduction

initial

Traduction

Swahili

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

initial state

Swahili

print operation status

Dernière mise à jour : 2014-08-15
Fréquence d'utilisation : 3
Qualité :

Anglais

initial training in defence and security

Swahili

pamoja na mafunzo ya awali ya uzalishaji mali

Dernière mise à jour : 2024-01-02
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

nodding disease in its initial stages.

Swahili

ugojwa wa kuanguka katika hatua zake za awali.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the initial responses to the postponement express widespread disappointment and suspicion.

Swahili

mwitikio wa awali wa kuahirishwa kwa uchaguzi unaonesha kuwa watu wamevunjika moyo na wana mashaka na uamuzi huu.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the airport reopened for travel, 17 hours after the initial attack.

Swahili

wanamgambo hao waliharibu ndege tatu ambazo hata hivyo hazikuwa na abiria ndani.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

initial investigations suggest that the blast resulted from electric fault in the area.

Swahili

uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba mlipuko huo ulitokana na hitilafu ya umeme kwenye eneo hilo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

initial reports from mozambican independent media suggest the shooters were members of renamo.

Swahili

taarifa za mwanzo kutoka vyombo huru vya habari nchini nmsumbiji zinaashiria kwamba watu waliopiga risasi walikuwa ni wanachama wa renamo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

this has led to initial early identification of background spread in low-risk patients.

Swahili

hii imesababisha utambuzi wa mapema wa usuli miongoni wa wagonjwa wa hatari ya chini.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

during her sentencing at the initial trial in 2003, irene was reported to have said:

Swahili

wakati alipokuwa akisomewa hukumu mwanzoni mwa mashtaka mwaka 2003, irene aliripotiwa kusema:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

rcgp rsc could provide a useful structure to channel the initial contact once phe has made a request.

Swahili

rcgp rsc inaweza kutoka muundo muhimu wa kutuma mwasiliani wa awali pindi tu phe ikishatuma ombi.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the host ribosome translates the initial overlapping open reading frame of the virus genome and forms a long polyprotein.

Swahili

ribosomu mama hutafsiri fremu wazi ya kwanza inayopindana ya kusoma ya genomu ya vitusi na kuunda protini nyingi.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

initial genetic testing of patient samples on 27 december 2019 indicated the presence of a sars-like coronavirus.

Swahili

vipimo vya awali vya sampuli za wagonjwa mnamo tarehe 27 disemba 2019 viliashiria kuwepo kwa virusi vya korona vinavyofanana na sars.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

all passengers who were stranded in aircrafts during the siege were safely moved into the main terminal building after the initial siege ended.

Swahili

bado niko kwenye ndege -mfanyakazi wa emirates aliamuru mapema kwamba abiria washuke lakini kwa sasa imebidi tubaki kwenye ndege.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

after an initial viewing, these public health messages may be deleted as quickly as the usual text spam."

Swahili

baada ya kusoma kwa mara ya kwanza, jumbe hizi za afya kwa umma zinaweza kufutwa mara moja kama vile zinavyofutwa jumbe nyingine za kero."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

and those who believed after [the initial emigration] and emigrated and fought with you - they are of you.

Swahili

na watakao amini baadaye na wakahajiri, na wakapigana jihadi pamoja nanyi, basi hao ni katika nyinyi.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

in the initial months after an incident like this, we don't want to move children away from the area where family members are searching for them.

Swahili

katika hatua za miezi ya mwanzo baada ya tukio kama hili, hatutaki kuwasafirisha waotot mbali na maeneo yao ambako wanafamilia wao wanawatafuta.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

however, new media were agile enough to cover all the main events giving detailed footage of initial protests in talas, rampage in bishkek and looting that followed.

Swahili

hata hivyo, vyombo hivyo vipya vya habari vilikuwa na nguvu ya kutosha kuchukua matukio yote muhimu na kutoa picha za video zilizo kamilifu tangu yalipoanza pale talas, mlipuko wa watu kule bishkek na matukio ya unyang'aji yaliyofuatia vurugu hizo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

this we can do or maybe just maybe, we are waiting for another investor or donor to come to our rescue when clearly through serious fiscal responsibility and accountability would give us the much needed funds for the initial investment.

Swahili

hili tunaweza kulifanya au labda ni labda tu, tunasubiri mwekezaji mwingine au mfadhili aje kutuokoa wakati suala lilikuwa ni uwajibikaji ulio makini wa kifedha na kubeba wajibu wetu ambao ungeweza kutupatia fedha nyingi zinazohitajika kwa ajili ya hatua za mwanzo za uwekezaji.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

salva was quick to point the finger at riek to blame him for the recent unrest, but my initial sense is that riek has spent years trying to rehabilitate his reputation from the 1991 nasir coup attempt and would be more likely to exhaust his options in the political sphere before resorting to armed violence.

Swahili

salva hakukawia kumlaumu riek kwa machafuko haya. lakini, kwa maoni yangu, riek amekuwa akijaribu kukarabati jina lake kwa muda wa miaka mingi baada ya jaribio la mapinduzi la nasir la 1991. yamkini angejaribu juu chini kupata suluhisho ya kisiasa kabla hajafikiria vita.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

these numbers vary by region and over time and are influenced by the volume of testing, healthcare system quality, treatment options, time since initial outbreak and population characteristics such as age, sex and overall health.

Swahili

idadi hizi hutofautiana kulingana na mkoa na muda na huathiriwa na idadi ya vipimo, ubora wa mfumo wa huduma ya afya, chaguo za matibabu, muda tangu mlipuko wa kwanza kutokea na sifa za idadi ya watu kama vile umri, jinsia, na afya kwa ujumla.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,884,391,061 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK