Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
the discussion was sparked by the kara zhorga dance, which has become popular in the country in the last few years.
mjadala uliwashwa na ngoma ya kara zhorga , ambayo imekuwa maarufu katika nchi hiyo katika miaka michache iliyopita.
urimtal writes : “i think kara zhorga is not just a dance, but a whole phenomenon that has united the nation.
urimtal anaandika : “nadhani kara zhorga si ngoma tu, bali jambo ambalo limeliunganisha taifa.
prime minister matovič suggested these be dumped into the danube.ateş kara of the turkish health ministry said the test kits turkey purchased from china had a "high error rate" and did not "put them into use."the uk purchased 3.5 million test kits from china but in early april 2020 announced these were not usable.
waziri mkuu matovič alipendekeza kwamba vitupwe kwenye mto danube.ateş kara kutoka wizara ya afya ya uturuki alisema kuwa vifurushi vya upimajia ambavyo nchi ya uturuki ilinunua kutoka china vilikuwa na "kiwango cha juu cha kosa" na "haikuvitumia."nchi ya uingereza ilinunua vifurushi milioni 3.5 kutoka china lakini mapema aprili 2020 ikatangaza kuwa hazikuwa zinaweza kutumika.