Vous avez cherché: perpetrator (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

who is the victim and who is the perpetrator of sectarianism?

Swahili

nani ni mwathirika na nani ni mwendelezaji wa hisia za kidini?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the police have failed to arrest even a single perpetrator!

Swahili

hata hivyo, polisi wameshindwa hata kumtia nguvuni angalau mhusika mmoja.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

to date, no action has been taken against the perpetrator of this incident.

Swahili

mpaka leo, hakuna hatua yoyote imechukuliwa dhidi ya waliohusika na tukio hilo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

if the perpetrator is forgiven by the affected party, this will be an expiation of his crime.

Swahili

lakini atakaye samehe basi itakuwa ni kafara kwake.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

consequently, non-consensual sexual penetration, regardless of whether the victim and perpetrator are married to each other, should be treated as rape

Swahili

kwa hiyo, uingiliaji kingono, bila kujali kama aliyetendwa au aliyetenda wameoana, kitendo hicho ni budi kichukuliwe kama ubakaji.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

-the forces democratiques de liberation du rwanda (fdlr), or interahamwe, the perpetrators of the 1994 rwandan genocide, who set up shop in the eastern drc following their reign of terror in their own country.

Swahili

- jeshi la wanademokrasia kwa ajili ya ukombozi wa rwanda, forces democratiques de liberation du rwanda (fdlr), au interahamwe, waliondesha mauaji ya kimbari nchini rwanda mwaka 1994, amabo wameweka kambi huko mashariki ta jamhuri ya kidemokrasia ya kongo baada utawala wao wa vitisho nchini mwao.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

blogger and activist najib chaouki created a facebook group called "we are all victims of torture," in which preamble he calls for the "perpetrators of this crime to be prosecuted diligently."

Swahili

mwanablogu na mwanaharakati najib chaouki aliandaa ukurasa wa kundi la facebook aliouita "sisi sote ni wahanga wa mateso,"ambapo katika utangulizi alitoa mwito kwa "watekelezaji wote wa makosa ya utesaji wafikishwe mbele ya sheria na kuhukumiwa kiadilifu."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

however, the perpetrators of these acts of terror seem not to be paying much attention to these reactions:

Swahili

hata hivyo, wanaoendeleza vitendo hivi vya kigaidi hawaonekani kutilia maanani miitikio kama hii:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

i wanted to understand this cycle of violence and to show the disproportionate violence that some of these delinquents suffer as a result of their actions for the people of dakar, this type of popular justice is a way to scare potential perpetrators and to deter them from coming back to their homes.

Swahili

nilitaka kuelewa mduara huu wa matumizi ya nguvu na kuonyesha namna matumizi haya ya nguvu kupita kiasi yanavyowaathiri vibaka shauri tu ya matendo yao yasiyokubalika kwa watu wa dakar, na jinsi ambavyo adhabu za namna hii zinavyochukuliwa kuwa namna ya kuwaogofya waendelezaji wa vitendo hivi na kuwafanya wasirudi majumbani kwao.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

if it transpires that the plane was indeed shot down, we insist that the perpetrators must swiftly be brought to justice.

Swahili

kama itajulikana kuwa ndege hiyo ilitunguliwa kwa hakika, tunasisitiza kwamba waliohusika wanakabiliana na mkono wa sheria.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

names of perpetrators and the volume of the illegal traffic.

Swahili

rosewood kupitia achille52, at http://reflexiums.wordpress.com

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the india government has been forced to arrest the perpetrators.

Swahili

serikali ya india ililazimishwa kuwatia nguvuni wahusika wa vitendo hivi vya kikatili.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK