Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
lucky akter shouting slogans.
lucky akter akitamka kwa sauti kubwa kauli mbiu mbalimbali.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
now guys are shouting "mlikua wapi?" #nairobiblast
sasa hivi watu wanapiga kelele “mlikuwa wapi?” #nairobiblast
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
he refused, upon which a shouting match broke out.
alikataa kufanya hivyo, hali iliyosababisha azomewe na wabunge wa chama cha mapinduzi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
allah does not love the shouting of evil words, except by he who has been wronged.
mwenyezi mungu hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
a student using a megaphone while shouting slogans at a protest in budapest on wednesday.
mwanafunzi akitumia kipaza sauti katika kutamka kauli mbiu mbalimbali wakati wa maandamano ya budapest siku ya jumatano.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
in people are shouting "slaves!" to titushki and show them money)) they get embarrassed and turn their heads away
kwenye bustani ya watu wanapiga kelele "watumwa!" kwa titushki na kuwaonyesha noti)) wanakasirika na kuondoka
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
although nationalist parties tried to gain political advantage, protesters stood up against such manipulation, shouting "no parties!"
pamoja na kuwa vyama vya kizalendo vinajaribu kupata faida ya kisiasa, waandamanaji wamepinga vikali dhidi ya upotoshaji huo kwa kusema kwa sauti kuu, “hakuna vyama!”
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
every time i start to write... another poem intrudes, shouting: "write me first!!."
kila wakati ninapoanza kuandika... shairi lingine linaingia, likipiga kelele: "niandike kwanza!!."
Dernière mise à jour : 2023-06-30
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
and they will be shouting therein: our lord! take us out; we shall work righteously, not that which we have been working.
na humo watapiga makelele: mola wetu mlezi! tutoe tufanye mema sio yale tuliyo kuwa tukiyafanya.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
@simsimt: the torturer who had gone pretty mad was hysterically shouting "you're an agent, agent, agent!" while beating me up! #sudanrevolts
@simsimt: mtesaji aliyekuwa sasa kama aliyechanganyikiwa alikuwa akitukana na kupaza sauti akisema "wewe ni jasusi, jasusi, jasusi!" huku akinipa kipigo! #sudanrevolts
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent