Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
and what does that mean for syrians?
na hiyo ina maana gani kwa raia wa syria?
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
90% of our houses are built by syrians.
asilimia 90 ya nyumba zetu zimejengwa na wasyria.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
assad airforce kills syrians waiting in breadline · global voices
assad atumia ndege ya kivita kuwaua raia wake
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
damascus undoubtedly fears that mitchell will ask syrians to meet with netanyahu without conditions.
dameski bila shaka inahofia kwamba mitchell atawataka wasyria kukutana na netanyahu bila masharti.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
many are however angry how people are moved by the destruction of history than loss of life modern day syrians suffer from.
watu wengi wamekasirishwa na namna baadhi ya watu wanavyoguswa na uharibifu wa historia na kuhamisha vito vya thamani badala ya kusikitishwa na kupotea kwa maisha ya sasa kunakotokana na mateso yanayoendelea nchini syria.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
the students are studying in the us as part of jusoor initiative to help syrians continue their higher education outside syria through scholarships.
wanafunzi hawa wanasoma nchini marekani kama sehemu ya mradi wa jusoor kuwasaidia wananchi wa syria kuendelea na elimu yao ya juu nje ya syria kupitia ufadhili.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
despite the limited media sources, what comes out from syria shows the horrific reality syrians on the ground face as they see their country being literally torn apart.
pamoja na ufinyu wa vitendea kazi vya utoaji habari, habari zinazotoka syria zinaonesha hali ya kutisha inayowakabili wananchi wa tabaka la chini kabisa na huku wakishuhudia nchi yao inavyoraruliwa na kuachwa vipande vipande.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
lebanese politicians are being accused by activists of using rising tensions between syrians refugees and lebanese inhabitants of some areas of lebanon for politically-motivated purposes.
wanasiasa wa kilebanoni wanatuhumiwa na wanaharakati kwa kutumia migogoro kati ya wakimbizi wa syria na wenyeji wa baadhi ya maeneo ya lebanoni kwa makusudi ya kisiasa.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
2 weeks ago isis executed syrian muslim journalist bassam raies.
wiki mbili zilizopita, isis walimuua mwanahabari mwislam wa syria, bassam raies.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :