Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
et ibunt hii in supplicium aeternum iusti autem in vitam aeterna
basi, hawa watakwenda kwenye adhabu ya milele, lakini wale waadilifu watakwenda kwenye uzima wa milele."
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
in exemplum iusti iudicii dei ut digni habeamini regno dei pro quo et patimin
hayo yote yanathibitisha kwamba hukumu ya mungu ni ya haki, na matokeo yake ninyi mtastahili utawala wake ambao kwa ajili yake mnateseka.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
dixit autem et ad quosdam qui in se confidebant tamquam iusti et aspernabantur ceteros parabolam ista
halafu yesu aliwaambia pia mfano wa wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
secundum duritiam autem tuam et inpaenitens cor thesaurizas tibi iram in die irae et revelationis iusti iudicii de
lakini unao ugumu na ukaidi wa moyo, na hivyo unajilundikia adhabu kwa siku ile ambayo ghadhabu ya mungu na hukumu zake za haki vitadhihirishwa.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
confitemini ergo alterutrum peccata vestra et orate pro invicem ut salvemini multum enim valet deprecatio iusti adsidu
basi, ungamanianeni dhambi zenu, na ombeaneni, ili mpate kuponywa. sala ya mtu mwema ina nguvu ya kutenda mengi.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
amen quippe dico vobis quia multi prophetae et iusti cupierunt videre quae videtis et non viderunt et audire quae auditis et non audierun
kweli nawaambieni, manabii na watu wengi wema walitamani kuyaona yale mnayoyaona, wasiyaone, na kuyasikia yale mnayoyasikia, wasiyasikie.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
videns autem pilatus quia nihil proficeret sed magis tumultus fieret accepta aqua lavit manus coram populo dicens innocens ego sum a sanguine iusti huius vos videriti
basi, pilato alipotambua kwamba hafanikiwi chochote na kwamba maasi yalikuwa yanaanza, alichukua maji, akanawa mikono mbele ya ule umati wa watu, akasema, "mimi sina lawama juu ya kifo cha mtu huyu; shauri lenu wenyewe."
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
ut veniat super vos omnis sanguis iustus qui effusus est super terram a sanguine abel iusti usque ad sanguinem zacchariae filii barachiae quem occidistis inter templum et altar
hivyo lawama yote itawapateni kwa ajili ya damu yote ya watu wema iliyomwagwa juu ya ardhi. naam, tangu kuuawa kwa abeli ambaye hakuwa na hatia, mpaka kuuawa kwa zakariya, mwana wa barakia, ambaye mlimuua hekaluni kati ya patakatifu na madhabahu.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :