Vous avez cherché: anafanya biashara na kilimo (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

anafanya biashara na kilimo

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

biashara na uanaharakati

Anglais

business and activism

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

fursa za biashara na miradi

Anglais

the level of education and knowledge after this training

Dernière mise à jour : 2020-06-29
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

blaise stephen anafanya kazi katika chemba ya kimataifa ya biashara na viwanda ya madagaska.

Anglais

blaise stephen is working at the international chamber of commerce and industry of madagascar.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wengi wamepoteza makazi yao, biashara na mali zao.

Anglais

many lost their homes, businesses and possessions.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini mwenyezi mungu ameihalalisha biashara na ameiharimisha riba.

Anglais

but allah has permitted trade and has forbidden interest.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

blogu bora ya biashara na uchumi- estock analysis.

Anglais

best business and commerce blog - estock analysis.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

cardplanet – mfumo wa malipo kwa njia ya simu za mkononi unaolenga biashara na azise

Anglais

cardplanet – mobile money payment system aimed at business and ngos

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

huenda vivutio vya watalii, biashara, na usafiri zimefungwa, hasa katika nchi zilizoathirika.

Anglais

tourist attractions, businesses, and transportation may be closed, especially in affected countries.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hayo ni kwa kuwa wamesema: biashara ni kama riba. lakini mwenyezi mungu ameihalalisha biashara na ameiharimisha riba.

Anglais

that is because they say, trading is only like usury; and allah has allowed trading and forbidden usury.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

sema: yaliyoko kwa mwenyezi mungu ni bora kuliko pumbao na biashara. na mwenyezi mungu ni mbora wa watoa riziki.

Anglais

say thou: that which is with allah is better than sport and better than merchandise; and allah is the best of providers.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

katika kanda, uharibifu wa ardhi na kilimo pembezoni mwa ardhi huzidisha hatari ya kwamba matukio yaliyokithiri yanaweza kubadilika kuwa maafa ya asili.

Anglais

in the region, land degradation and cultivation of marginal land increase the risk that extreme events can develop into natural disasters.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hata hivyo, hivi karibuni zaidi, nchi za afrika kama zetu, zimefanya mageuzi makubwa ili kuwezesha kubuni biashara na kutoa mazingira mazuri kwa ajili ya maendeleo ya biashara.

Anglais

however, more recently, african countries like ours, undertake major reforms to facilitate business creation and provide a favourable climate for business development.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

bado tukiwa bahraini, sohail al gosaibi ananusa njama kwenye hewa, anaona kwamba kukuza sana madhara ya mafua ya nguruwe kunayanufaisha mashirika ya habari, watangaza biashara na viwanda vya madawa.

Anglais

still in bahrain, sohail al gosaibi smells a conspiracy in the air, noting that exaggerating the effect of swine flu benefits the media, advertising and pharmaceutical industries.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

pendekezo la kubana matumizi lililowasilishwa kwa bunge, ambalo lilikumbana na upinzani mkali kutoka katika vyama vya kiraia, sekta ya biashara na vyama vya wafanyakazi, harakati mbalimbali za kupinga kwa nguvu muswada huo zimepangwa.

Anglais

in the wake of the fiscal reform submitted to the national congress, which was met with strong disapproval by civil society, the business sector and trade unions, various movements in opposition to the bill have been organized .

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini mwenyezi mungu ameihalalisha biashara na ameiharimisha riba. basi aliye fikiwa na mawaidha kutoka kwa mola wake mlezi, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyo kwisha pita, na mambo yake yako kwa mwenyezi mungu.

Anglais

those who devour usury will not stand up on the day of judgement, except like the one whom an evil jinn has deranged by his touch; that is because they said, “trade is also like usury!”; whereas allah has made trading lawful and forbidden usury; for one to whom the guidance has come from his lord, and he refrained therefrom, is lawful what he has taken in the past; and his affair is with allah; and whoever continues earning it henceforth, is of the people of fire; they will remain in it for ages.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

jina lang ni aisha haji mdimu ni mtanzania natokea mkoa wa tanga wilaya ya lushoto kijiji cha mbelei katika umri wa miaka 14 nlkua darasa la saba katika shule ya msingi namba baada ya kuhitimu nlifaulu na kujiunga na kidato cha kwanza mbelei sekondari nikiwa na miaka 15 ambapo ni mwaka 2017 nliendelea mbele na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2020 miaka hyo yote niliishi na wazazi wangu mkoani tanga nlianza kujishughulisha na kilimo cha mbogamboga na ufugaji wa kuku baada ya muda nlianza kufany bia

Anglais

lang's name is aisha haji mdimu is a tanzanian and from the tanga region of lushoto district in the village of mbelei at the age of 14 nlkua seventh grade in primary school number after graduating i graduated and joined form 1 at 15 years old which is 2017 i went ahead and graduated form 4 in 2020 all the years i lived with my parents in tanga region i started to engage in agriculture. vegetables and chicken farming after a while i started to make beer

Dernière mise à jour : 2023-12-18
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

"mto sarawak jana ulionyesha nguvu zake wakati ulipopasua kingo zake na kumiminikia kwenye ufukwe wa kuching. na wakazi wa kuching wanaeleza kwamba mafuriko haya ni mabaya zaidi katika miaka 20, yalizua foleni kubwa za magari, yalisitisha biashara na kuwajaza hofu wale waliotegemea kwamba maafa zaidi yangelitokea.

Anglais

"sarawak river showed yesterday its might when it burst it banks and water spilled into kuching waterfront.and the floods descrides by kuchingites as the worst flood in 20 years, caused massive trafic jam, halted business and caused panic among some who anticipated that worst was yet to come.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

katika baadhi ya nchi, mfumo wa kisheria kwa ajili ya biashara umetoa motisha kidogo kutokana na udhaifu kama vile ukosefu wa upatikanaji wa mikopo, uhaba wa habari juu ya fursa za biashara, kutokuwepo kwa msaada kwa ajili ya wajasiriamali wadogo (hakuna vituo vya kuuzia biashara) na nguvukazi isiyotosha kwa usimamizi wa kampuni.

Anglais

in some countries, the legal framework for business leaves room for few incentives due to weaknesses such as lack of credit access, scarcity of information on business opportunities, absence of support for young entrepreneurs (no business incubators) and insufficient skilled workforce for company management.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,799,844,521 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK