Vous avez cherché: imedaiwa na mmiliki maudhui (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

imedaiwa na mmiliki maudhui

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

jina la mmiliki maudhui:

Anglais

the content owner's name:

Dernière mise à jour : 2015-12-23
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

inaonekana kama blogu ya kuongezwa moja kwa moja na wavuti zisizo na mmiliki zenye matangazo mengi, au hata mbaya zaidi.

Anglais

it looks like a spammy ad-infested blogspot site, or worse.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini dalili za kuanza kuanguka hazikutiliwa maanani na mmiliki wa jengo hilo kwani alilifungua kw ajili ya biashara mnamo tarehe 24 aprili na wafanyakazi walilazimishwa kurudi kazini.

Anglais

but the signs of impending collapse were ignored by the building owner as he opened it for business on 24 april and workers were forced to go back to work.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mtu mmoja akiwa ameongozana na mwenzake waliingia kwenye duka lililoko kwenye jiji la huancayo nchini peru, wakisema walikuwa wanataka kununua pombe, na mmiliki alipokuwa amepumbazwa kidogo, jamaa walibeba boksi la shampoo.

Anglais

the man and his accomplice entered a store in the peruvian city of huancayo, saying they were buying some liquor, and when the owner was distracted, they took a box of shampoo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mnamo tarehe 14 desemba, siku ya jumatatu, mwanablogu bashir hazzam na mmiliki wa mgahawa wa intaneti abdullah boukhou walihukumiwa kifungo cha miezi minne jela kwa huyo wa kwanza na mwaka mmoja kwa huyo wa pili pamoja na kulipa faini ya mad 500 (sawa na dola za marekani 63) kila mmoja katika mahakama ya goulmim.

Anglais

on monday, december 14th, blogger bashir hazzam and internet cafe owner abdullah boukhou were sentenced to four months and one year, respectively plus a fine of mad 500 (usd 63) each, in a goulmim court.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,788,776,547 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK