Vous avez cherché: inayoitwa (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

inayoitwa

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

bata mbaya inayoitwa

Anglais

duck baby called

Dernière mise à jour : 2019-11-12
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

miaka miwili iliyopita tulianzisha kampeni inayoitwa kony 2012.

Anglais

two years ago today we started a campaign called kony 2012.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

inatumika wa zaidi ya miji 200 ya uchina. huko singapore, proframu inayoitwa tracetogether inatumika.

Anglais

it is in use across more than 200 chinese cities.in singapore, an app called tracetogether is being used.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

haley, akiblogu katika tovuti inayoitwa ujasura kama mwanafunzi balozi, ana hili la kusema:

Anglais

haley, blogging on adventures as an ambassadorial scholar, says:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

makala hii inatokana na maudhui yaliyochapishwa kwanza kupitia kampeni ya kukusanya ushahidi wa picha za video inayoitwa witness.

Anglais

this post is based on content originally posted on witness.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa kilichomkuta saltz, michoro ilisemekana kuwa na taswira ya ngono, kwa mujibu wa blogu ya new york times inayoitwa artsbeat.

Anglais

in saltz's case, the images were provocative and deemed to be pornographic, according to the new york times' artsbeat blog.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ana bahati sana tu kwamba ile nyumba yake inayoitwa “nyumba ya vijijini” kule tefle ipo kwenye kingo za mto.

Anglais

he’s even lucky that his so called “village house” in tefle is on the banks of a river.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

andry rajoelina (au andry tvg) alikuwa na stesheni ya televisheni inayoitwa viva na bado anayo stesheni ya redioyenye jina hilohilo.

Anglais

andry rajoelina (or andry tgv) had a tv station named viva and still have a radio station with the same name.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wanafunzi watatu, josué mfutila kiangata, aaron malu mukeba na martin nomapungu walitoa maoni yao kwenye tovuti ya habari za afrika inayoitwa waza online kuhusu hali yamaono inavyoendelea nchini humo.

Anglais

a trio of students, josué mfutila kiangata, aaron malu mukeba and martin nomapungu gave african news portal waza online their views on events in the country.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

blogu inayoitwa somos paraguayos (sisi ni waparaguai) inawakaribisha wahamiaji duniani kote kuwasilisha simulizi za uzoefu wao na kujibiwa na waparaguai wengine katika safu za maoni.

Anglais

a blog called somos paraguayos (we are paraguayans) invites immigrants across the globe to submit their firsthand stories about their experiences and the response from other paraguayans in the comments sections add to the conversation.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mwezi aprili 2012, mwimbaji maarufu wa kitibeti lo lo naye alikamatwa baada ya kutoa albamu yake inayoitwa "pandisheni bendera ya tibet, enyi wana wa barafu".

Anglais

in april 2012, popular tibetan singer lo lo was arrested after he released an album titled "raise the flag of tibet, sons of snow".

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

upekee wa "hotuba za kiraia kwa njia ya video" nchini urusi inaelezwa vema zaidi kwa maoni yenye tahadhari kutoka katika moja ya blogu maarufu zaidi nchini inayoitwa dolboeb:

Anglais

the novelty of “citizen video addresses” in russia is best indicated by a cautious comment from one of the most popular bloggers in the country dolboeb:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

pengine dhima ya irene kama mama inaelezwa vizuri zaidi katika macho ya binti yake, katrina jorene, ambaye aliandika katika blogu inayoitwa micah mandate (blogu ya kikristu inayolenga kuamsha utetezi wa umma):

Anglais

irene’s role as a mother perhaps can best be reflected in the eyes of her daughter, katrina jorene, who wrote on the micah mandate (a christian-based blog seeking to raise public interest advocacy):

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

tangazo! tangazo! tangazo! tungependa kuwajulisha kwamba kutakuwa na nafasi za kazi na ajira kwenye kampuni yetu ya mafunzo inayoitwa (smartbrains) . kampuni yetu inawapa wanafunzi nafasi za kujifunza compiuta kwenye shule zetu. kinacho hitajika ni :- uwe umemalizi kidato cha nne. - uwe miaka 20 kuendela. kujiunga nasi piga nambari (0793474747) mafunzo (training) yatapewa waajiriwa bila malipo yoyote kabla ya kuanza kazi , kaa gangari , usikubali kupitawa na nafasi hii. interviews zitafanyika kwenye kambi za chifu wiki ijayo jumanne( next week tuesday).

Anglais

no query specified. example request: get?q=hello&langpair=en|it

Dernière mise à jour : 2024-04-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,792,244,854 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK