Vous avez cherché: kuchuja (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

kuchuja

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

serikali zimefuzu nyenzo na mbinu za kuchuja habari kwenye vyombo vya habari vya kitamaduni.

Anglais

governments have mastered the tools and techniques of censorship in the traditional media.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kuhusu swala la kuchuja michoro ya kuchekesha (vikatuni) vyenye mandhari ya kebehi

Anglais

on the issue of censorship of satirical cartoonists

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kama indonesia itafanikiwa katiaka kuchuja yaliyopo mtandaoni, nchi nyingine katika eneo hili zinatarajiwa kufuata mfano huo.

Anglais

if indonesia succeeds in filtering web content, other countries in the region are expected to follow this model.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

licha ya majaribio ya utawala kuchuja tovuti za kijamii, ziliendelea kuwa njia yenye nguvu ya mawasiliano ya harakati za kijani.

Anglais

despite the regime's attempts to filter social media websites, they became a powerful communication platform for the green movement.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ninahisi watu wengine hawana uwezo wa kuchuja hizi kelele zinazotoka kwa wapiga kelele walio kwenye majukwaa ya uwanjani wakati wa mechi za kombe la mabara.

Anglais

i guess some people have no ability to filter out these quiet buzzing sounds from the ubiquitous noisemakers in the stands during the confederations cup matches.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wengine wamejiunga kwa dhumuni la pamoja dhidi ya kuchuja habari na ukandamizwaji wa wale ambao wanatumia haki yao ya kujieleza kwa uhuru kwa mujibu wa kipengele cha 19 cha azimio la umoja wa mataifa la haki za binadamu.

Anglais

others have joined in common cause against censorship and repression of those who are merely exercising their universal right to free expression according to article 19 of the united nations universal declaration of human rights.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wanablogu wa bahrain wanaujia juu uamuzi wa waziri wa habari wa nchi hiyo wa kuzuia upatikanaji wa tovuti mbalimbali, kadhalika kuzuia matumizi ya tovuti vivuli zinazoruhusu watumiaji kuperuzi tovuti nyingine zilizozuiwa na zana za kuchuja habari.

Anglais

bloggers in bahrain are fuming at a decision by the country's minister of information to block access to scores of websites, as well as prevent access to proxy sites which enable surfers to get to sites in a roundabout manner.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kusini mashariki mwa asia serikali hazihitaji kutokee shutuma za ngono ndipo ianze kuchunga mtandao kwani huweza kutumia sababu nyingine yeyote, kama usalama wa taifa, kuchuja na kufuatilia vilivyopo kwenye mtandao.

Anglais

southeast asian governments do no always need sex scandals to censor the web since they can always cite other reasons, like national security, to filter and monitor internet content.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

uchunguzi mkubwa uchina ililinganisha matokeo ya picha ya kifua ya ct na ya pcr na kuonyesha kuwa ingawa picha za kimatibabu si maalum ya maambukizi, ni ya haraka na bora, kuonyesha kuzingatiwa kwake kama kifaa cha kuchuja watu katika maeneo ya janga.

Anglais

a large study in china compared chest ct results to pcr and demonstrated that though imaging is less specific for the infection, it is faster and more sensitive, suggesting its consideration as a screening tool in epidemic areas.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kufikia machi 2020, chuo cha radiolojia marekani hupendekeza kuwa "ct haifai kutumiwa kuchuja au kama njia ya kupima ya kwanza kutambua covid-19".

Anglais

as of march 2020, the american college of radiology recommends that "ct should not be used to screen for or as a first-line test to diagnose covid-19".

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,748,693,322 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK