Vous avez cherché: kufaa (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

kufaa

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kufaa kwa hali na mali

Anglais

the suitability of conditions and properties

Dernière mise à jour : 2023-03-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

makontena yanaonekana kufaa kwa sababu hayana gharama kubwa na yanazoeleka kirahisi.

Anglais

containers appear to be the structure of choice because they are less costly and readily adaptable to include the necessary amenities.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa nini unaabudu visivyo sikia, na visivyo ona, na visivyo kufaa chochote?

Anglais

why do you worship that which hears not, sees not and cannot avail you in anything?

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

jivu au mchanga unaweza kufaa zaidi kuliko maji pekee lakini hauwezi kuwa na ufanisi kuliko sabuni.

Anglais

ash or soil may be more effective than water alone, but may be less effective than soap.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

upitishaji maalum wa hewa chanya ya msukumo inaweza kufaa katika baadhi ya mipangilio ya huduma ya afya na vyumba vya kuhifadhia maiti.

Anglais

specialized negative pressure ventilation may be appropriate in some healthcare and mortuary settings.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kufikia machi 2020, haikujulikana ikiwa maambukizi ya hapo awali yalitoa kinga ya kufaa na ya muda mrefu ndani kwa waliopona ugonjwa huu.

Anglais

as of march 2020, it was unknown if past infection provides effective and long-term immunity in people who recover from the disease.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

licha ya kufaa kwake, bidhaa zisizo za maji hazisafishi mikono kutokana na vifaa vya kioganiki, lakini huuwa viini kwavyo.

Anglais

despite their effectiveness, non-water agents do not cleanse the hands of organic material, but simply disinfect them.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mfumo wa uchunguzi unapaswa kuweza kutambua maeneo ambao maenezi ya covid-19 yanafanyika yanayoweza kufaa kufanyia majaribio ya tiba dhidi ya virusi.

Anglais

the surveillance system should be able to identify areas where covid-19 spread is taking place that might be suitable for trials of antiviral therapy.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

maneno mabaya hata yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya kufaa na ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, ili yawaneemeshe wasikilizaji wenu.

Anglais

let no corrupt communication proceed out of your mouth, but that which is good to the use of edifying, that it may minister grace unto the hearers.

Dernière mise à jour : 2014-04-01
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

alipo mwambia baba yake: ewe baba yangu! kwa nini unaabudu visivyo sikia, na visivyo ona, na visivyo kufaa chochote?

Anglais

[mention] when he said to his father, "o my father, why do you worship that which does not hear and does not see and will not benefit you at all?

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

kinadharia, hakuna uwezekano kwamba mabadiliko ya kijenetiki yanaweza kufanya chanjo na dawa za kupambana na virusi dhidi ya sars-cov-2 zisiwe za kufaa haraka.

Anglais

theoretically, it is unlikely that genetic drift would render vaccines and antivirals against sars-cov-2 ineffective quickly.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ninafahamu kutokana na uzoefu wangu mdogo kwenye biashara kuwa, kutokana na nguvu zao za kiushawishi kote nyumbani na nchi za nje, ingechukua sim utu kwa akina rawlings ili kupata nyumba yenye heshima na ya kufaa sehemu yoyote nchini ghana.

Anglais

i know from my little experience in business that, with their kind of influence both home and abroad, it would take just a phone call for the rawlingses to acquire a respectable and appropriate freehold residential accomodation anywhere in ghana.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

gazeti la italia ya la stampa ilinukuu taarifa na mtu asiyetambulika "katika nyanja za juu ya kisiasa" kuwa asilimia 80 ya msaada wa urusi "haikuwa ya kufaa au kwa manufaa chache kwa italia".

Anglais

italy's la stampa newspaper cited an anonymous "high-level political source" that 80 percent of russia's aid was "useless or of little use to italy".

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,794,846,082 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK