Vous avez cherché: kuokoa (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kuokoa

Anglais

god saves

Dernière mise à jour : 2021-11-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

haiti: kuokoa maisha

Anglais

haiti: saving lives · global voices

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ninaweza kuokoa kiasi kila siku

Anglais

i am able to save an amount on a daily basis

Dernière mise à jour : 2021-10-26
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

na watu wanane wa timu ya uokoaji wamefanya zoezi la kuokoa.

Anglais

and eight civil rescue team members have carried out the rescue mission.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

felix ana uzoefu wa zaidi ya mika 20 katika shughuli za kuokoa waliotekwa.

Anglais

felix has more than 20 years of experience in the k&r business.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

kikundi cha wataalam ilisema kuwa kila mtu ana haki ya mikakati ya kuokoa maisha na serikali ina jukumu hili.

Anglais

the expert group stated that everyone is entitled to life-saving interventions and the government holds this responsibility.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mapambano yamezingira kabisa kituo cha mbuga na walinzi wa doria mbugani wamelazimika kukimbilia misituni ili kuokoa maisha yao.

Anglais

fighting has now totally engulfed the park station and our rangers have been forced to flee into the forests for their lives.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

naam, teknolojia ina faida zake lakini nafikiri, ofisi ya mwanasheria mkuu ingeweza kuokoa muda na nishati kwa kutumia teknolojia ya dijitali.

Anglais

yes technology has its own disadvantages but i think, the ag’s office would save time and energy by going digital.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa njia hiyo, watu hao wawili wataepuka kupitia adha ya kujadidisha au kutojadidisha leseni yao ya ndoa inayokwisha muda wake na kuokoa fedha ambazo huandaa shughuli aghali ya harusi.

Anglais

that way, both persons will be spared from having to go through renewing or not renewing the expirable marriage license and save them money from holding the costly marriage ceremony.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

bata hao waliishi kwenye bwawa kubwa zaidi ya yote nchini. mwaka 1966, mwanaikologia anne labastille alianzisha kampeni ya kuokoa bata hao wasitoweke lakini juhudi zake zilipotea bure.

Anglais

it inhabited one of the biggest lakes in guatemala. n 1966, the ecologist anne labastille started a campaign to save the duck from extinction but her efforts were in vain.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hivi karibuni tuliwaletea habari ya mpango wake wa kuokoa tembo wa afrika ya kusini kwa kuanzisha kumbi (penu/njia) za tembo.

Anglais

we recently brought you the story about his plan to save southern africa’s elephants with the implementation of elephant corridors.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ufahamu wa jinsi jinsi ya kujiongezea maji mwilini (ort) unaweza kuokoa maisha, kwani vifo vingi vinavyotokana na kipindupindu hutokana na kupoteza maji mwilini.

Anglais

a knowledge of ort basics could save lives, as most deaths from cholera are in fact caused by dehydration.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

katika mfululizo wa twiti zake, zain anaeleza kwamba mwanae huyo, anayedai kuwa alipigwa risasi, anaishi na mama yake kwenye kijiji fulani eneo la deraa, na anahitaji matibabu kuokoa maisha yake.

Anglais

in a series of tweets, zain explains that his son, whom he claims was recently shot at, is with his mother in a village in deraa, and needs medical attention.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kulingana na unicef, kufanya uoshaji mikono kwa sabuni kabla ya kula na baada ya kutumia choo kuwa mazoea kunaweza kuokoa maisha zaidi kuliko chanjo yoyote au mkakati wa kimatibabu, kupunguza vifo kutokana na kuendesha kwa karibu nusu na vifo kutokana na maambukizi ya pumu kwa robo.

Anglais

according to unicef, turning hand washing with soap before eating and after using the toilet into an ingrained habit can save more lives than any single vaccine or medical intervention, cutting deaths from diarrhea by almost half and deaths from acute respiratory infections by one-quarter.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kisha, akawauliza, "je, ni halali siku ya sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuua?" lakini wao hawakusema neno.

Anglais

and he saith unto them, is it lawful to do good on the sabbath days, or to do evil? to save life, or to kill? but they held their peace.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

haitakulinda dhidi ya nimonia ya virusi ya covid-19, lakini baadhi ya wagonjwa wa covid-19 wameaga dunia kutokana na nimonia ya bakteria ambayo ilishambulia mapafu yao dhahifu, kwa hivyo chanjo ya nimonia inaweza kuokoa maisha yako.

Anglais

it won't protect you from viral pneumonia from covid-19, but some covid-19 patients have died of bacterial pneumonia that attacked their weakened lungs, so a pneumonia vaccination could save your life.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,745,795,636 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK