Vous avez cherché: kuona kwa mbali (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kuona kwa mbali

Anglais

english

Dernière mise à jour : 2022-02-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

yapake yawe na wekundu kwa mbali.

Anglais

paint them pink.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa mbali inasikika milio ya bunduki.

Anglais

hearing distant gunshots.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

alipomwona yesu kwa mbali, alimkimbilia, akamwinamia

Anglais

but when he saw jesus afar off, he ran and worshipped him,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

basi naye akawa anamuangalia kwa mbali bila ya wao kujua.

Anglais

his sister watched him from one side and the people of the pharaoh did not notice her presence.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

baadhi ya wenzetu wanafanya kazi kwa mbali kwa mara ya kwanza.

Anglais

some of our colleagues are working remotely for the first time.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

tunakula kuku wa ki-mexico wakati tukisikia sauti za mabomu yakidondoka kwa mbali,

Anglais

we are having mexicana chicken as sound of mortars echoes at a distance.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

naye akamwambia dada yake musa: mfuatie. basi naye akawa anamuangalia kwa mbali bila ya wao kujua.

Anglais

and she said to his sister, "follow him"; so she watched him from a distance while they perceived not.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

marafiki zake wote pamoja na wale wanawake walioandamana naye kutoka galilaya, walisimama kwa mbali kutazama tukio hilo.

Anglais

and all his acquaintance, and the women that followed him from galilee, stood afar off, beholding these things.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hospitali kubwa iliyokuwa inajengwa mkabala na oloffson imeporomoka magari yanaanza kuzunguka.. ninaziona taa kwa mbali kuelekea dagoni

Anglais

a huge hospital that was being built across from the oloffson has collapsed cars are starting to circulate..i see lights in the distance towards the wharf

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.

Anglais

then took they him, and led him, and brought him into the high priest's house. and peter followed afar off.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

petro alimfuata kwa mbali mpaka uani kwa kuhani mkuu, akaingia ndani pamoja na walinzi ili apate kuona mambo yatakavyokuwa.

Anglais

but peter followed him afar off unto the high priest's palace, and went in, and sat with the servants, to see the end.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wenzetu waliofanya kazi kwa mbali kwa muda mrefu wanajua kwamba inaweza kuwa hali ngumu kuzoea, na walitaka kutoa ushauri kiasi:

Anglais

our long-time remote colleagues know that it can be an adjustment, and wanted to offer you some advice:

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

jeshi moja likipigana katika njia ya mwenyezi mungu, na jingine kafiri likiwaona zaidi kuliko wao mara mbili, kwa kuona kwa macho.

Anglais

one party fighting in the way of god, and the other was disbelieving. they saw them with their own eyes twice their number.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

matukio mbalimbali yana adhimisha kumbukumbu ya miaka kote nchini ufaransa, ingawa katika mazingira magumu kutokana na kupanda kwa kasi kwa mbali haki katika ufaransa.

Anglais

numerous events are celebrating the anniversary all over france, though in a complicated context given the rapid rise of the far-right in france.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hakika ilikuwa ni ishara kwenu katika yale majeshi mawili yalipo pambana. jeshi moja likipigana katika njia ya mwenyezi mungu, na jingine kafiri likiwaona zaidi kuliko wao mara mbili, kwa kuona kwa macho.

Anglais

"there has already been for you a sign in the two armies that met (in combat): one was fighting in the cause of allah, the other resisting allah; these saw with their own eyes twice their number.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

lakini yule mtoza ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: ee mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.

Anglais

and the publican, standing afar off, would not lift up so much as his eyes unto heaven, but smote upon his breast, saying, god be merciful to me a sinner.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.

Anglais

and seeing a fig tree afar off having leaves, he came, if haply he might find any thing thereon: and when he came to it, he found nothing but leaves; for the time of figs was not yet.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wanasimama kwa mbali kwa sababu ya kuogopa mateso yake, na kusema, "ole! ole kwako babuloni, mji maarufu na wenye nguvu! kwa muda wa saa moja tu adhabu yako imekupata."

Anglais

standing afar off for the fear of her torment, saying, alas, alas, that great city babylon, that mighty city! for in one hour is thy judgment come.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,783,730,207 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK