Vous avez cherché: kutamani (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

kutamani

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kutamani sana

Anglais

clinging to the

Dernière mise à jour : 2023-11-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kinyume cha kutamani

Anglais

the opposite of coveted.

Dernière mise à jour : 2022-07-08
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kinyume cha neno kutamani

Anglais

the opposite of the word coveted

Dernière mise à jour : 2022-05-28
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

sitopenda tena labda kutamani

Anglais

are you leaving me?

Dernière mise à jour : 2021-06-08
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi.

Anglais

but for one who is driven by necessity, neither craving nor transgressing, it is no sin.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

nimeendelea kutamani kuandika makala za blogu kuhusu taarifa hizi moja baada ya nyingine, nyingi zikihusu afrika, lakini inaonekana sitaweza.

Anglais

i keep meaning to write blog posts on each of these reports on tech, most of them on africa, but can’t seem to get it done.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini mwenye kushikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita mipaka, basi hakika mola wako mlezi ni mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.

Anglais

but (even so), if a person is forced by necessity, without wilful disobedience, nor transgressing due limits,- thy lord is oft-forgiving, most merciful.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.

Anglais

but one will incur no sin if, forced by absolute necessity, he eats of any of these forbidden things, provided he has no intention of transgressing the law and does not take more than what is absolutely indispensable: for allah is very forgiving and very merciful.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

na wakati ambapo sisi kule nyumbani tuna uhaba wa mvua, hapa inanyesha sana na kunifanya kutamani maisha zaidi, maisha yanayohuishwa na mvua, na kufanya chemchem ambayo bado inaendelea kuwepo.

Anglais

and while we suffer from the lack of rain in my country, it regularly rains here and makes me eager for life, a life that is rejuvenated by the rains, which make it the oasis it is now.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa mwenyezi mungu. lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi.

Anglais

he has forbidden for you only the carrion, and blood, and flesh of swine, and the animal that has been slaughtered while proclaiming the name of anyone other than allah; so there is no sin on him who is compelled and does not eat out of desire, nor eats more than what is necessary; indeed allah is oft forgiving, most merciful.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

imekuwa ni moja ya mazoea au mawazo ambayo kwa watu wengi huwa wanachukulia ni kama mawazo ya kitoto kutokana na kwamba ni mawazo ambayo watoto wengi huwaza au kutamani watakapo kuwa watu wazima basi kuweza kuyatimiza au kuyafikia mawazo hayo, lakini mawazo hayo hubaki kuwa ndoto ambazo ili kuzifikia inahitaji jitihada za kutosha katika kujituma kuweza kuyafanya mawazo na ndoto hizo kuwa halisia. watoto wengi huwa na ndoto nyingi ambazo huamini kabisa ukubwani wataweza kuzitimiza kirahisi, ila wanapofikia kuwa watu wazima taratibu ndoto zile huanza kubadilika kulingana na mazingira na hali za kiuchumi pia, japo kuna wengine ambao hufanikiwa kabisa kuziishi ndoto zao. mtoto anaeonekana katika mchoro huu nimoja kati ya watoto wenye ndoto au matamani ya kumiliki vitu vya thamani ambapo ameonekana kuweza kuonesha ndoto zake katika canvas, akionesha kutamani kumiliki gazi zuri la kifahari.

Anglais

they give me ideas

Dernière mise à jour : 2024-09-19
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,950,893,290 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK