Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
baraza limesema kwamba tuhuma za kuvuruga uchaguzi ni uongo mtupu.
scaf has stated that accusations of rigging the elections were a slander.
Dernière mise à jour : 2023-08-28
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
jeshi la polisi la kenya limesema kwamba watu wapatao 27 wamejeruhiwa na mlipuko huo na wanaendelea na matibabu.
kenyan police say 27 people who were injured in the blast were undergoing treatment.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
jeshi la pilisi nchini comoro limesema linawashikilia watu wanaosemekana kuwa wahaini raia wa kongo na chadi kwa tuhuma za jaribio la kuiangusha serikali lililofanyika mwisho wa wiki.
comoros police forces state that they have arrested congolese and chadian mercenaries in an attempted coup over the week-end.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tamko lililotolewa jumatano, oktoba 2, 2013 limesema kwamba "serikali imesitisha uanachama wake wa jumuiya ya madola na kuamua kwamba gambia kamwe haitakuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mambo-leo na kamwe haitakuwa sehemu ya taaisis yoyote inayotanua ukoloni."
a statement released on wednesday, 2 october 2013 stated that "the government has withdrawn its membership of the british commonwealth and decided that the gambia will never be a member of any neo-colonial institution and will never be a party to any institution that represents an extension of colonialism."
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent