Vous avez cherché: mgombea (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

mgombea

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

msumbiji: shambulio dhidi ya mgombea urais

Anglais

mozambique: attack on presidential candidate · global voices

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hugo chavez amemwangusha mgombea wa upinzani kwa mara nyingine.

Anglais

hugo chavez trounced the opposition candidate again.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

'tuliangalia maombi kama yalivyowasilishwa na kila mgombea,' aliongeza.

Anglais

vario sérant presents in alterpresse a list of the rejected candidates:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

chirikova kwa ukweli alikuwa mgombea pekee mkubwa kuwakilisha upinzani.

Anglais

chirikova was in fact the only major candidate to represent the new movement.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hotuba ya mgombea urais wa marekani kupitia chama cha republican bw.

Anglais

mitt romney's foreign policy speech was rapped by netizens across the arab world today.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

rais hawezi kutangazwa hadi pale mgombea atakapopata zaidi ya asilimia 50 ya kura zote.

Anglais

the president can't be elected unless he or she secures more than 50% of the votes.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kuhusu suala la mgombea kiti cha urais jacob zuma kuwa kizimbani kwa tuhuma za rushwa

Anglais

on questions of jacob zuma the presidential candidate being in the dock for corruption charges

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

picha: ukurasa wa facebook wa nana ado (mgombea urais wa npp).

Anglais

photo source: nana ado (npp's presidential candidate) facebook page.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

dpp kimekuwa madarakani kwa miaka minne iliyopita na kimemtengenezea njia rais bingu wamutharika kuwa mgombea wake kwa mara nyingine.

Anglais

the democratic progressive party has been in power for the last four years and is fielding president bingu wa mutharika as its candidate once again.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

@delemomodu2011 ni mgombea wa urais kupitia chama cha national conscience party (ncp).

Anglais

@delemomodu2011 is the presidential candidate of the national conscience party (ncp).

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

gazeti la new vision linasema kuwa kupigwa risasi kulitokana na kutokukubaliana kati ya mgombea na mmoja wa mashabiki wa mgombea mwingine:

Anglais

the new vision suggests the shootings were a result of a disagreement between one candidate and the supporter of another:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

anaandika makala ndefu inayomuhusu brown mpinganjira ambaye amekitosa chama ambacho alisaidia kukijenga na amejiunga na john tembo wa chama cha malawi congress kama mgombea mwenza.

Anglais

he writes a long post focusing on brown mpinganjira who has dumped the party he helped to form and paired himself with john tembo of the malawi congress party as a running mate.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hata hivyo mwanablogu anasema kuwa kama wapiga kura wanataka kujua namna mgombea wao "alivyoshiba" basi wana haki ya kujua hayo:

Anglais

yet the blogger argues that if the voters wish to know how "full" a candidate is, they have the right to know that:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

hata hivyo, unaweza kujipambanua kwa ajili ya mgombea mmoja tofauti na ilivyo katika upigaji kura wa mtandaoni ambapo unaweza kutumia anuani nyingi za barua pepe kuwapigia watu wengi.

Anglais

besides, you can stand for only one candidate unlike in online voting where you can use multiple email adderesses to vote for multiple people.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

katika maneno ya patrick utomi (ambaye mpaka hivi karibuni alikuwa mgombea urais wa chama cha social democratic mega party (sdmp):

Anglais

in the words of patrick utomi (until recently, a presidential candidate of social democratic mega party):

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hali hii imeongezeka kadri maandamano hayo yanavyozidi kutoa wito wa mfumo wazi wa uteuzi wa mgombea wa nafasi ya mtendaji mkuu wa jiji hilo, dai ambalo linapingana na matakwa ya bara ya kuwa na kamati inayohodhiwa na watu wenye mrengo wa beijing.

Anglais

this trend has only increased with the recent protests calling for an open nomination system of candidates for the city's chief executive, which goes against the mainland's wish for a largely pro-beijing nominating committee.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

andrew bartlett, seneta wa zamani wa chama cha democrats na mgombea wa chama cha greens katika uchaguzi ujao wa taifa, anataka vitendo zaidi kutoka kwa wote, viongozi wa majimbo na wale wa kitaifa.

Anglais

andrew bartlett, former democrats senator and current greens candidate for the next federal election, wants more action from both state and federal leaders.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kama mmoja wa wachambuzi wa mambo amabye alitabiri ushindi wa mcp/udf na mgombea wake john tembo, boniface dulani anakiri wakati kura zilipokuwa bado zinahesabiwa wakati ilipodhihirika kwamba bingu wa mutharika anageuza yale yaliyokuwa yakitarajiwa:

Anglais

as one of the pundits who predicted a strong showing for the mcp/udf alliance and its candidate john tembo, boniface dulani makes a confession mid-way through the vote counting when it is becoming apparent that bingu wa mutharika is defying expectations:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hata hivyo, waziri wake wa sheria na katibu mkuu wa pf wynter kabimba akiwa kwenye ziara nchini malawi huenda alipuuzia woga wa serikali wa serikali yake kwenye rasimu ya katiba - kufikiwa kwa asilimia 50 ya kura zote jumlisha kura moja kwa uchaguzi wa rais na mgombea mwenza wake wa nafasi ya umakamu wa rais.

Anglais

however, his justice minister and pf secretary general wynter kabimba during a visit to malawi probably gave away the biggest fear his government had in the draft document—50 percent plus one threshold for election to the office of the president and a presidential running mate for the office of vice president.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kushawishi "ina maana pana, ufafanuzi wa kisheria ni maalum kabisa. kwa mwanzo, sheria inatofautisha ushawishi kutoka kuingilia kati katika kampeni ya kusaidia au kupinga mgombea wa ofisi ya umma, au "elec ??? upainia." misaada ya umma inaweza kushiriki kushawishi (tazama hapa chini), lakini wapiga kura ni marufuku (tazama sehemu inayofuata) sheria za shirikisho na kanuni za irs zinagawanyika kushawishi (kinyume na uchaguzi) katika jamii kuu 2

Anglais

Dernière mise à jour : 2021-04-13
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,934,813,722 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK