Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
inadaiwa kuwaterre blanche alikatwa katwa na kubondwa hadi kufa katika shamba lake karibu na ventersdorp, katika jimbo la kaskazini magharibi, bila shaka na wafanyakazi wake kutokana na mabishano juu ya randi 600.
terre blanche was allegedly hacked and bludgeoned to death on his farm near ventersdorp, in the north west province, allegedly by farmworkers during an argument over r600.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
jaji meyer joffer alibaini kwamba selebi, rais wa zamani wa polisi wa kimataifa (interpol), alipokea mamia ya maelfu ya randi kwa ajili ya malipo mbalimbali kati ya mwaka 2000 na 2005 kutoka kwa wafanyabiashara watatu, ikiwa ni pamoja na mtuhumiwa na mauaji glen agliotti, malipo ambayo “hayakuleta maana yoyote kama biashara halali kwa mujibu wa sheria” na yalikusudiwa kuwa kama rushwa.
judge meyer joffe found selebi, a former president of interpol, received hundreds of thousands of rand in payments between 2000 and 2005 from three businessmen, including murder suspect glen agliotti, that “made no legitimate business sense” and were intended as bribes.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :