Vous avez cherché: supu iko tayari! (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

supu iko tayari!

Anglais

the soup is ready!

Dernière mise à jour : 2011-12-29
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

je, italia iko tayari kwa waziri aliyezaliwa afrika?

Anglais

is italy ready for an african-born minister? · global voices

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

swali langu ni; je, ghana kweli iko tayari kwa upigaji kura wa mtandaoni?

Anglais

my question is; is ghana really ready for e-voting?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kisha akawaambia watumishi wake: karamu ya arusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.

Anglais

then saith he to his servants, the wedding is ready, but they which were bidden were not worthy.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

"je, italia iko tayari kwa waziri wa serikalki aliyezaliwa afrika?," donata columbro anauliza:

Anglais

"is italy ready for an african-born government minister?," donata columbro asks:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

tanzania iko tayari sasa kufanya mabadiliko ya historia kwa kuachana na lugha ya kiingereza na kuanza kutumia rasmi kiswahili kama lugha ya kujifunzia na kufundishia katika shule za nchi hiyo.

Anglais

tanzania is set to make a historic shift away from english and replace it with swahili as the language of instruction in the country’s schools.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mwnaablogu huyu anasema lengo kuu la simu hiyo lilikuwa kuwaonyesha mamilioni ya waislamu wanaofuata mafundisho ya imam huyo kwamba iran iko tayari kuzungumza na "shetani mkuu."

Anglais

this blogger says the main goal of the phone call was to show the millions of muslims who follow the imam teachings that iran is willing to negotiate with "the great satan."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

mbali na kutufanya tuwe jamii yenye kujiamini, yenye ubunifu ambayo iko tayari kujaribu mambo mapya na kunufaika na majaribio hayo, imetufanya tuwe waoga wa kujaribu na wenye mashaka kiasi.

Anglais

far from making us a confident, innovative society willing to try new things and benefitting from experimentation, it has made us risk-averse and slightly paranoid.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kama anataka kuwa mkazi wa kudumu, serikali ya zambia iko tayari kumpa fursa hiyo, na ndiyo sababu tumeamua kumtunuku kwa ukaazi wa kudumu kama njia ya kuonyesha tunathamani mchango wake katika maendeleo ya soka ya nchi hii.

Anglais

if he wants to become a permanent resident, the zambian government is willing to do that for him and that is why we have decided to give him a resident permit as a way of our appreciation for his contribution to football development in the country.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ninafanya kila ninaloweza kuhakikisha kwamba makosa ya nyuma hayarudiwi…kwa hivyo, swali si ikiwa tume, inec, iko tayari, lakini ni ikiwa wadau wengine wako tayari.

Anglais

i am doing my best to ensure that all the mistakes of the past are not repeated. ...consequently, the question is not whether inec is ready, but whether the other stakeholders are ready.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

rais wa fifa sepp blatter alisema hivi karibuni kwamba chama cha kimataifa zinazosimamia asasi lazima zitoe adhabu kali kupambana na masuala haya, na kuongeza kuwa fifa kwa sasa iko tayari "kuondoa timu kutoka ushindani au kupunguza pointi" kufuatia athari hiyo.

Anglais

fifa president sepp blatter stated recentky that this global governing organization must introduce harsher punishments to battle these issues, adding that fifa was now even willing to "eliminate teams from a competition or deduct points" to that effect.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

akiahidi kusaidia kwa hali na mali misaada ya kila aina, alisema, "jamaat-ud-dawa iko tayari kutuma watu wa kujitolea, madaktari, vyakula, madawa na vitu vingine vya kuwasaidia wahanga endapo serikali ya marekani itaturuhusu”.

Anglais

pledging help of every kind, he said "jamaat-ud-dawa is ready to send its volunteers, doctors, food, medicines and other relief items on humanitarian grounds if the us government allows us.”

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,787,694,212 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK