Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
baba wa ubatizo amefariki
the father of baptism
Dernière mise à jour : 2021-07-23
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kuna bwana mmoja, imani moja na ubatizo mmoja;
one lord, one faith, one baptism,
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
but i have a baptism to be baptized with; and how am i straitened till it be accomplished!
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
ninyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya wayahudi kuanzia galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri yohane.
that word, i say, ye know, which was published throughout all judaea, and began from galilee, after the baptism which john preached;
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
waliposikia hayo watu wote na watoza ushuru waliusifu wema wa mungu; hao ndio wale waliokuwa wameupokea ubatizo wa yohane.
and all the people that heard him, and the publicans, justified god, being baptized with the baptism of john.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
naye akasema, "sasa mlipata ubatizo wa namna gani?" wakamjibu, "ubatizo wa yohane."
and he said unto them, unto what then were ye baptized? and they said, unto john's baptism.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
sa sucks anawaonya wahudhuriaji wa kombe la dunia kujiandaa kwa “ubatizo wa moto” wa historia ya mwanadamu.”
sa sucks warns world cup visitors to prepare for an anthropological “baptism of fire."
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
alikuwa amefundishwa juu ya hiyo njia ya bwana, na akiwa motomoto, aliongea juu ya habari za yesu. akafundisha kwa usahihi ingawa alikuwa amepata ubatizo wa yohane tu.
this man was instructed in the way of the lord; and being fervent in the spirit, he spake and taught diligently the things of the lord, knowing only the baptism of john.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
yesu kristo ndiye aliyekuja kwa maji ya ubatizo wake na kwa damu ya kifo chake. hakuja kwa maji tu, bali kwa maji na kwa damu. naye roho anashuhudia kwamba ni kweli, kwani roho ni ukweli.
this is he that came by water and blood, even jesus christ; not by water only, but by water and blood. and it is the spirit that beareth witness, because the spirit is truth.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
naye paulo akasema, "ubatizo wa yohane ulikuwa wa kuonyesha kwamba watu wametubu. yohane aliwaambia watu wamwamini yule ambaye alikuwa anakuja baada yake, yaani yesu."
then said paul, john verily baptized with the baptism of repentance, saying unto the people, that they should believe on him which should come after him, that is, on christ jesus.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
tanya torres, ambaye ni msanii wa puerto rico aishiye harlem ya mashariki alikuwa ni miongoni mwa mama wa ubatizo katika kusanyiko hilo, nadema agard, cecilia gastón, christine licata and sandra morales-de león.
tanya torres, a puerto rican artist residing in east harlem, was one of the godmothers at the parade, nadema agard, cecilia gastón, christine licata and sandra morales-de león.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: