Vous avez cherché: uraia (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

uraia

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

huu ndio uraia.

Anglais

this is citizenship.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

uraia na maadili

Anglais

citizenship and values

Dernière mise à jour : 2020-05-28
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

swali – hoja ya uraia wa nchi mbili imefikia wapi?

Anglais

questions- whats the status of the dual citizenship?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kuwait: waandamanaji wasio na uraia washambuliwa kwa kudai haki

Anglais

kuwait: stateless protesters attacked for demanding rights

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa nini wa-china wengi wanakosa ufahamu wa uraia?

Anglais

why do the chinese lack a sense of citizenship?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hotuba ya obama kwenye mahafali yaibua mjadala wa maana ya uraia

Anglais

obama graduation speech sparks debate in china: what is citizenship? · global voices

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

huku ni kujichanganya hasa kuhusu kile ambacho sata amekuwa akikisema kuhusu uraia wa nchi mbili.

Anglais

this is a contractiction to what sata has been saying about dual citizenship.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

baadhi ya nchi zimeweka vikwazo kulingana na uraia au makazi kutoka kwa maeneo yaliyoathirika sana.

Anglais

some countries have imposed restrictions based on citizenship or residency from severely affected areas.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

vipi kuhusu hao watoto? bila kujali hali yao na uraia wao, bado ni watoto na wana haki.

Anglais

how are those children? no matter their status and citizenship, they are children and have rights.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wageni wasio waislamu hawawezi kupiga kura, kuabudu hadharani, kupata uraia, wala kutumikia umma.

Anglais

non-muslim foreigners cannot vote, worship publicly, obtain citizenship, and hold public positions.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kuzunguka mzunguko wa mzunguko hali ya uraia wa uraia wa kiraia ustaarabu wa madai ufafanuzi kufafanua mgongano classic classical uainishaji kuainisha kibali

Anglais

circulate circulation circumference circumstance citizen citizenship civil civilization civilize claim clarification clarify clash classic classical classification classify clearance

Dernière mise à jour : 2024-04-14
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ahmed aliishi kwa muda kwenye kambi ya wakimbizi ya ifo kabla ya kupewa makazi huko colorado nchini marekani ambako alipewa uraia kamili wa marekani.

Anglais

ahmed lived for a while in ifo refugee camp before being resettled to colorado in the us where he was granted full us citizenship.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

sherehe hizo za kitaifa hazitoshi kuhamasisha hisia za utaifa wakati kumbukumbu muhimu hazipo, utambulisho wa pamoja na taasisi zinazofadhili uraia hazipo.

Anglais

the carnival celebration is not enough to reinforce the national sense of belonging in the absence of a popular memory, a joint identity and institutions sponsoring citizenship.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

derakhshan ana pasi ya kanada, lakini irani bado haitambui uraia wa nchi mbili, na kutembelea israeli ni jambo ambalo linaichukiza sana na serikali ya nchi hiyo.

Anglais

derakhshan holds a canadian passport, but iran does not recognize dual citizenship and visiting israel is frowned upon by the government.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mzazi wa kisyria wael zain anadai mwanae wa kiume mwenye uraia wa uingereza, mwenye miaka mitano, amekwama syria na kwamba ubalozi wa uingereza haujamsaidia kukutana nae.

Anglais

syrian father wael zain claims his british son, aged five, is stranded in syria and that the british foreign office is not helping reunite them.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

daktari abdulhadi khalaf, mwenye elimu ya uzamivu, ambaye siku za hivi karibuni alivuliwa uraia wa bahrain, alipakia video nyingine na alichangia kama ifuatavyo:

Anglais

dr abdulhadi khalaf, an academic professor who was recently stripped of his bahraini nationality, shared another video and commented:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

suala la uraia wa nchi mbili bado lina mzozo kwa sababu wazambia wengi wanaoishi nje ya nchi wanataka suala hilo liingizwe kwenye katiba mpya inayoandaliwa hivi sasa, lakini hali ya renard ya sasa kuhusu uraia wake ni kama vile imetia dosari mchakato huo.

Anglais

dual citizenship is controversial because most zambians abroad want it included in the new constitution being drawn up, but renard's status has effectively short-circuited the procedure.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

@mansoor_aljamri: tunatumaini kwamba wizara ya mambo ya ndani itatangaza katika mkutano wa vyombo vya habari majina na uraia wa wale waliouawa na kujeruhiwa.

Anglais

@mansoor_aljamri: we hope the ministry of interior announces in its press conference the names and nationalities of those killed and injured.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kiini cha hotuba aliyoitoa obama jana katika chuo kikuu cha ohio wakati wa mahafali kilikuwa ni ‘fafsiri ya uraia, nilijitahidi kutafsiri hotuba yake kwa kuwa ninahisi kuwa vijana wa china kwa namna moja ama nyingine wanahitaji aina hii ya elimu ambayo hawaipati mashuleni nchini china.

Anglais

the core of obama’s speech yesterday at the ohio state university commencement is ‘a sense of citizenship, i roughly translated his speech, because i feel that chinese youth may perhaps be even more in need of this kind of education, which they do not receive in chinese classrooms.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

@sehartariq : kwa nini tunawaonea huruma waislamu wa gaza kuliko waislamu wa #pakistan ambao tuna historia moja na vinasaba vinayofanana; uraia #mauaji ya halaiki ya shia

Anglais

@sehartariq : why do we feel more sympathy for muslims in gaza than we do for muslims in #pakistan with whom we share history & citizenship #shiagenocide

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,770,719,047 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK