Vous avez cherché: viboko (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

viboko

Anglais

hippopotamus

Dernière mise à jour : 2012-02-23
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

basi, pilato akaamuru yesu achukuliwe, apigwe viboko.

Anglais

then pilate therefore took jesus, and scourged him.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

mara tano nilichapwa vile viboko thelathini na tisa vya wayahudi.

Anglais

of the jews five times received i forty stripes save one.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

jihadharini na watu, maana watawapeleka ninyi mahakamani na kuwapiga viboko katika masunagogi yao.

Anglais

but beware of men: for they will deliver you up to the councils, and they will scourge you in their synagogues;

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

hakimu huyo huyo, ibrahim al-husni, awali aliwahukumu waandamanaji wa amani kuchapwa viboko.

Anglais

the same judge, ibrahim al-husni, previously sentenced peaceful protesters to be flogged.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

kundi la watu likajiunga nao, likawashambulia. wale mahakimu wakawatatulia paulo na sila mavazi yao, wakaamuru wapigwe viboko.

Anglais

and the multitude rose up together against them: and the magistrates rent off their clothes, and commanded to beat them.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

hivyo wakawaita wale mitume, wakaamuru wachapwe viboko na kuwaonya wasifundishe tena kwa jina la yesu; kisha wakawaacha waende zao.

Anglais

and to him they agreed: and when they had called the apostles, and beaten them, they commanded that they should not speak in the name of jesus, and let them go.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

watamkabidhi kwa watu wa mataifa mengine ili adhihakiwe, apigwe viboko na kusulubiwa; lakini siku ya tatu atafufuliwa."

Anglais

and shall deliver him to the gentiles to mock, and to scourge, and to crucify him: and the third day he shall rise again.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

pilato alitaka kuuridhisha huo umati wa watu; basi, akamwachilia baraba kutoka gerezani. akaamuru yesu apigwe viboko, kisha akamtoa asulubiwe.

Anglais

and so pilate, willing to content the people, released barabbas unto them, and delivered jesus, when he had scourged him, to be crucified.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Swahili

lakini walipokwisha mfunga ili wamchape viboko, paulo alimwuliza jemadari mmoja aliyesimama hapo, "je, ni halali kwenu kumpiga viboko raia wa roma kabla hajahukumiwa?"

Anglais

and as they bound him with thongs, paul said unto the centurion that stood by, is it lawful for you to scourge a man that is a roman, and uncondemned?

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

pilato akawaambia mara ya tatu, "amefanya kosa gani? sioni kosa lolote kwake linalomstahili auawe; kwa hiyo nitampiga viboko, halafu nimwachilie."

Anglais

and he said unto them the third time, why, what evil hath he done? i have found no cause of death in him: i will therefore chastise him, and let him go.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

baadaye, basi la shule lilikwenda kwenye ziwa dogo kuona viboko. lakini basi lilikwama kwenye matope! hatukuweza kusonga mbele na hatukuweza kushuka kwenye basi! "bila shaka! hippos inaweza kuwa mifugo, lakini bado ni wanyama pori na hatari." momo aliongezea. kwa hivyo ni dereva tu aliyeshuka kwenye basi na kwenda kupata msaada. alipokuwa anachelewa kurudi, momo na lolotte, walimu na wanafunzi wa darasa la nne walianza kuwa na wasiwasi

Anglais

afterwards, the school bus went to a small lake to see some hippos. but the bus got stuck in the mud! we couldn't move forward and we couldn't get off the bus! "of course! hippos may be herbivores, but they are still wild and dangerous animals." momo added. so only the driver got out of the bus to go get help. as he was slow to return, momo and lolotte, the teachers and the fourth grade students started to worry.

Dernière mise à jour : 2022-04-10
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,800,428,328 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK