Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
maandamano yalianza baada ya swala ya ijumaa katika msikiti wa mtaa wa wad nubawi huko omdurman.
the protests kicked off after friday prayers in a mosque in wad nubawi neighborhood in omdurman.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
maandamano yamerudi safari hii kwenye wilaya ya wad nubawi wakipambana, magari ya polisi yameegeshwa pembeni mwa barabara yanarusha mabomu ya machozi
protest back on inside district, wad nubawi fighting back, police cars in sideroads & firing tear gas @ houses
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
baada ya swala, watu walikusanyika mbele ya msikiti na kuandamana kupitia barabara za mitaa ya wad nubawi wakiimba kauli mbiu za kupinga utawala wa nchi hiyo.
after prayer, people gathered in front of the mosque and marched on one of the main roads in wad nubawi chanting anti-regime slogans.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hamid alikuwa mmoja wao, na hapa alitwiti tweeted : ninaelekea kwenye msikiti wa al-sayed abdelrahman kwenye mtaa wa wad nubawi.
hamid was one of them; he tweeted : on my way to al-sayed abdelrahman mosque in wad nubawi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :