Hai cercato la traduzione di da Cinese semplificato a Swahili

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Chinese

Swahili

Informazioni

Chinese

Swahili

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Cinese semplificato

Swahili

Informazioni

Cinese semplificato

獨 有 我 與 巴 拿 巴 沒 有 權 柄 不 作

Swahili

au ni mimi tu na barnaba ambao tunapaswa kujipatia maslahi yetu kwa kufanya kazi?

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

說 、 這 個 人 開 了 、 卻 不 能 完

Swahili

wakisema: mtu huyu alianza kujenga, lakini hakumalizia.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

的 得 價 、 不 算 恩 典 、 乃 是 該 得 的

Swahili

mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

我 為 你 們 害 怕 . 惟 恐 我 在 你 們 身 上 是 枉 費 了

Swahili

nahofu kwamba labda kazi niliyoifanya kwa ajili yenu imepotea bure!

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

問 百 基 拉 和 亞 居 拉 安 . 他 們 在 基 督 耶 穌 裡 與 我 同

Swahili

salamu zangu ziwafikie priska na akula, wafanyakazi wenzangu katika utumishi wa kristo yesu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

又 問 在 基 督 裡 與 我 們 同 的 耳 巴 奴 、 並 我 所 親 愛 的 士 大 古 安

Swahili

salamu zangu zimfikie urbano, mfanyakazi mwenzangu katika utumishi wa kristo; salamu zangu pia kwa rafiki yangu staku.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

人 在 那 根 基 上 所 建 造 的 程 、 若 存 得 住 、 他 就 要 得 賞 賜

Swahili

ikiwa alichojenga mtu juu ya huo msingi kitaustahimili huo moto, atapokea tuzo;

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

又 因 他 們 所 作 的 、 用 愛 心 格 外 尊 重 他 們 . 你 們 也 要 彼 此 和 睦

Swahili

wapeni heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu ya kazi wanayofanya. muwe na amani kati yenu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

他 們 本 是 製 造 帳 棚 為 業 . 保 羅 因 與 他 們 同 業 、 就 和 他 他 們 同 住 作

Swahili

na kwa vile wao walikuwa mafundi wa kushona mahema kama alivyokuwa yeye, paulo alikaa nao akafanya kazi.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

我 們 就 是 一 刻 的 夫 、 也 沒 有 容 讓 順 服 他 們 、 為 要 叫 福 音 的 真 理 仍 存 在 你 們 中 間

Swahili

hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa habari njema ubaki nanyi daima.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

也 未 嘗 白 喫 人 的 飯 . 倒 是 辛 苦 勞 碌 、 晝 夜 作 、 免 得 叫 你 們 一 人 受 累

Swahili

hatukula chakula kwa mtu yeyote bila ya kumlipa. tulifanya kazi kwa bidii na taabu mchana na usiku ili tusiwe mzigo kwa mtu yeyote kati yenu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Cinese semplificato

不 可 因 食 物 毀 壞   神 的 程 . 凡 物 固 然 潔 淨 、 但 有 人 因 食 物 叫 人 跌 倒 、 就 是 他 的 罪 了

Swahili

basi, usiiharibu kazi ya mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya mtu aanguke katika dhambi.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,800,471,335 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK