Hai cercato la traduzione di קדוש da Ebraico a Swahili

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Ebraico

Swahili

Informazioni

Ebraico

קדוש

Swahili

watakatifu

Ultimo aggiornamento 2013-01-10
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Ebraico

כי על כן כתוב והייתם קדשים כי קדוש אני׃

Swahili

maandiko yasema: "muwe watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu."

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ebraico

כי אם היו קדשים בכל דרכיכם כאשר קדוש הוא אשר קרא אתכם׃

Swahili

bali mnapaswa kuwa watakatifu katika mwenendo wenu wote, kama vile yule aliyewaiteni ni mtakatifu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Ebraico

אהה מה לנו ולך ישוע הנצרי באת להאבידנו ידעתי מי אתה קדוש האלהים׃

Swahili

akapaaza sauti, "una nini nasi, wewe yesu wa nazareti? je, umekuja kutuangamiza? najua wewe ni nani: wewe ni mtakatifu wa mungu!"

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ebraico

ואיש אשר ישחית את היכל אלהים האלהים ישחית אתו כי היכל אלהים קדוש ואתם הנכם קדושים׃

Swahili

basi, mtu akiliharibu hekalu la mungu, mungu atamharibu; maana hekalu la mungu ni takatifu, na hekalu hilo ni ninyi wenyewe.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Ebraico

ואתם הנכם זרע נבחר ממלכת כהנים וגוי קדוש ועם סגלה למען תספרו תהלות הקורא אתכם מחשך אל אורו הנפלא׃

Swahili

lakini ninyi ni ukoo mteule, makuhani wa mfalme, taifa takatifu; watu wake mungu mwenyewe, mlioteuliwa kutangaza matendo makuu ya mungu aliyewaiteni kutoka gizani akawaingizeni katika mwanga wake mkuu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Ebraico

מי לא ייראך יהוה ולא יכבד את שמך כי קדוש אתה לבדך כי כל הגוים יבאו וישתחוו לפניך כי נגלו משפטי צדקך׃

Swahili

bwana, ni nani asiyekucha wewe? nani asiyelitukuza jina lako? wewe peke yako ni mtakatifu. mataifa yote yatakujia na kukuabudu maana matendo yako ya haki yameonekana na wote."

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ebraico

ויאמרו קרניליוס שר מאה איש צדיק וירא אלהים ולו שם טוב בכל עם היהודים צוה על פי מלאך קדוש לקרא לך אל ביתו ולשמע דברים מפיך׃

Swahili

wao wakamjibu, "jemadari kornelio ambaye ni mtu mwema, mcha mungu na mwenye kuheshimika mbele ya wayahudi wote ametutuma. aliambiwa na malaika mtakatifu akualike nyumbani kwake ili asikilize chochote ulicho nacho cha kusema."

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ebraico

ולכל אחת מארבע החיות שש כנפים מסביב ולפנימה הנה מלאות עינים ואין דמי להן יומם ולילה ואמרות קדוש קדוש קדוש יהוה אלהים צבאות היה והוה ויבוא׃

Swahili

viumbe hivyo vinne vilikuwa na mabawa sita kila kimoja, na vilikuwa vimejaa macho, ndani na nje. usiku na mchana, bila kupumzika huimba: "mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu ni bwana, mungu mwenye uwezo, aliyekuwako, aliyeko na anayekuja!"

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Wikipedia
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,793,786,730 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK