Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
i cannot read updates on and my battery is dying.
siwezi kusoma habari mpya kwenye na betri yangu imekwisha.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
we are trying to maintain phone contact but they don’t have much battery life in their phones.
tunajaribu kuendelea kuwasiliana nao kwa simu lakini hawana nguvu za betri (mawe) ya kutosha kwenye simu zao.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lucky for me, there's still battery power remained on my digital camera to take a few snapshots.
bahati yangu nilikuwa bado nina mawe kwenye kamera yangu ya kidijitali nikaweza kupiga picha kadhaa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
@pkahill: #werememberjuly11 he had no battery so waiting for his friends at shop rite he left one friend in and the bomb went off 1/2
@pkahill: hakuwa na betri na alikuwa akiwasubiri marafiki zake katika duka la shoprite na akamwacha rafiki mmoja ndani na bomu ikalipuka
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: