Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
there were reports of injured people and collapsing of houses as a result of the movement.
kulikuwa na taarifa za watu kujeruhiwa na kuanguka kwa nyumba shauri ya mtikisiko mkubwa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the first blog posts written in french about the earthquake in haiti have come from outside the country, announcing terrible news of the presidential palace , a hospital and other buildings collapsing and also of the threat of a tsunami.
posti ya kwanza ya blogu iliyoandikwa kwa lugha ya kifaransa kuhusu tetemeko la ardhi huko haiti imetokea nje ya nchi hiyo, ikitangaza habari mbaya za kuanguka kwa kasri ya rais, hospitali na majengo mengine na pia tishio la tsunami.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
chiluba’s death, which citizens first learnt of through twitter, shocked the nation which only three years before, had buried a sitting president, levy mwanawasa who died in france after collapsing in egypt while on international duty.
kifo cha chiluba ambacho wananchi walikisikia kwanza kwa kupitia twita, kililishtua taifa ambalo miaka mitatu tu kabla, lilimzika rais aliyekuwa madarakani, levy mwanawasa ambaye alifariki nchini ufaransa baada ya kuzimia akiwa katika ziara ya kimataifa ya kikazi nchini misri.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: