Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
drugs you are taking
mihadarati unazotumia
Ultimo aggiornamento 2017-02-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
by putting limit on drugs
matumizi mabaya ya d
Ultimo aggiornamento 2024-02-09
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
antiretroviral drugs maana yake kwakiswahili
antiretroviral drugs maana yake kwakiswahili
Ultimo aggiornamento 2024-05-08
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
do any of the drugs reduce mortality?
kuna dawa zozote zinazopunguza vifo?
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
poem recited in alteration of the swahili about drugs
ngonjera za kiswahili kuhusu dawa za kulevya
Ultimo aggiornamento 2017-05-11
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
do any of the drugs reduce the time a patient is hospitalized?
dawa hizo hupunguza muda ambao mgonjwa analazwa hospitalini?
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
dangers of drugs to our lungs dangers of drugs to our lungs
dawa za kulevya
Ultimo aggiornamento 2024-03-14
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
the drugs were designed to inhibit hiv from replicating by binding to the protease.
dawa hizo zilibuniwa kuzuia hiv kutoa nakala kwa kuinganisha na protease.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
*thumbnail image courtesy of united nations office on drugs and crime.
*thumbnail image courtesy of united nations office on drugs and crime.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
the interaction of these treatments with other drugs used in the patients should be monitored carefully.
mwingiliano wa matibabu haya na dawa nyingine zilizotumika kwa wagonjwa unapaswa kufuatiliwa kwa makini.
Ultimo aggiornamento 2024-04-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
both drugs have extensive interactions with prescription drugs, affecting the therapeutic dose and disease mitigation.
dawa zote zina mwingiliano mkubwa na dawa za kuagiza, zikiathiri dawa ya matibabu na kupunguza magonjwa.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
research into potential treatments started in january 2020, and several antiviral drugs are in clinical trials.
utafiti wa matibabu yanayowezekana ulianza januari 2010, na dawa kadhaa za kuzuia virusi yanafanyiwa majaribio la kliniki.
Ultimo aggiornamento 2024-04-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
they were also concerned that patients requiring an operation have to pay for all the drugs and other supplies needed for the procedure.
vile vile waliokuwa na wasiwasi kwamba wagonjwa waliokuwa wanahitaji kufanyiwa upasuaji walitakiwa kulipia dawa zote na vifaa vyote vilivyohitajika kwa ajili ya upasuaji.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
lawrence evans, a researcher who has conducted a study in guyana and suriname on the quality of antimalarial drugs says:
lawrence evans, ni mtafiti aliyefanya utafiti wa ubora wa dawa hizi za kuzuia malaria, guyana na suriname anasema:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
new packets of the drugs will have three-dimensional hologram seals and other features to indicate the drugs are authentic.
pakiti mpya za dawa hii, zitakuwa na mhuri wa utambuzi na alama nyingine ili kuonyesha kuwa dawa hizi ni halali.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
a median cost estimate of 2015-16 trials for development of 10 anti-cancer drugs was $648 million.
makadirio ya gharama ya wastani ya majaribio ya mwaka wa 2015 hadi 2016 ya kukuza dawa 10 za kuzuia saratani ilikuwa dola milioni 648.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
despite the innovation mentioned earlier, detecting counterfeit drugs is still a very difficult task and requires both advanced technology and the capacity to strictly enforce international regulations.
hata tukizingatia ubunifu huu tuliozungumzia hapo awali, kugundua dawa hizi ni jambo gumu, ambalo linahitaji teknolojia za kisasa na uwezo wa kuhakikisha kuwa maagizo ya kitaifa yanafuatwa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
however, it has made non-emergency oral contraceptives, which were over the counter in the past, prescription-only drugs.
hata hivyo, mabadiliko haya yamesababisha dawa zisizo za dharura za kupanga uzazi kuhitaji kwanza ushauri wa daktari kabla ya kutumiwa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
a global safety monitoring board of who physicians examine interim results to assist decisions on safety and effectiveness of the trial drugs, and alter the trial design or recommend an effective therapy.
bodi ya kufuatilia usalama duniani ya madaktari wa who hukuchunguza matokeo ya muda ili kusaidia maamuzi ya usalama na ufanisi wa dawa za majaribio, na kubadilisha muundo wa jaribio au kupendekeza dawa inayofaa.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
these therapies include current and potential treatments with antiviral drugs, immunosuppressants, steroids, plasma from recovered patients, chinese medicine, and psychological support.
matibabu haya ni pamoja na matibabu ya kisasa na yanayowezekana na dawa zinapambana na virusi, kikandamizi vya kinga, steroids, plasma kutoka kwa wagonjwa waliopona, msaada wa dawa na wa kisaikolojia kutoka china.
Ultimo aggiornamento 2024-04-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: