Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
they will answer: "what is expedient.
watasema: yaliyo kweli!
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
it is not expedient for me doubtless to glory. i will come to visions and revelations of the lord.
nitajivuna basi, ingawa haifai! lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia bwana.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nor consider that it is expedient for us, that one man should die for the people, and that the whole nation perish not.
je, hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?"
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
the also called on their government to expedient action in getting back the abducted high school students from the boko haram terrorists:
pia walitoa wito kwa serikali yao kuchukua hatua kuhakikisha kuwa wanafunzi hao wa sekondari waliotekwa nyara na magaidi wa boko haram wanapatikana:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
all things are lawful for me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but all things edify not.
vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
all things are lawful unto me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but i will not be brought under the power of any.
mtu anaweza kusema: "kwangu mimi kila kitu ni halali." sawa; lakini si kila kitu kinafaa. nakubali kwamba kila kitu ni halali kwangu lakini sitaki kutawaliwa na kitu chochote.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
nevertheless i tell you the truth; it is expedient for you that i go away: for if i go not away, the comforter will not come unto you; but if i depart, i will send him unto you.
lakini, nawaambieni ukweli: afadhali kwenu mimi niende zangu, maana nisipokwenda msaidizi hatakuja kwenu. lakini nikienda, basi, nitamtuma kwenu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: