Hai cercato la traduzione di fervent da Inglese a Swahili

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

English

Swahili

Informazioni

English

fervent

Swahili

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

not slothful in business; fervent in spirit; serving the lord;

Swahili

msilegee katika bidii, muwe wachangamfu rohoni katika kumtumikia bwana.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and above all things have fervent charity among yourselves: for charity shall cover the multitude of sins.

Swahili

zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

this post is part of our special coverage nigeria elections 2011. as the 2011 elections in nigeria draws near, the blogosphere is fervent with loud screams.

Swahili

kadiri uchaguzi wa mwaka 2011 nchini naijeria unavyozidi kukaribia, ulimwengu wa blogu umehamasika na watu wenye sauti zinazosikika.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

confess your faults one to another, and pray one for another, that ye may be healed. the effectual fervent prayer of a righteous man availeth much.

Swahili

basi, ungamanianeni dhambi zenu, na ombeaneni, ili mpate kuponywa. sala ya mtu mwema ina nguvu ya kutenda mengi.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

looking for and hasting unto the coming of the day of god, wherein the heavens being on fire shall be dissolved, and the elements shall melt with fervent heat?

Swahili

mkiingojea siku ile ya mungu na kuifanya ije upesi--siku ambayo mbingu zitateketezwa kwa moto na kuharibiwa, na vitu vyake vya asili vitayeyushwa kwa joto.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

this man was instructed in the way of the lord; and being fervent in the spirit, he spake and taught diligently the things of the lord, knowing only the baptism of john.

Swahili

alikuwa amefundishwa juu ya hiyo njia ya bwana, na akiwa motomoto, aliongea juu ya habari za yesu. akafundisha kwa usahihi ingawa alikuwa amepata ubatizo wa yohane tu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and not by his coming only, but by the consolation wherewith he was comforted in you, when he told us your earnest desire, your mourning, your fervent mind toward me; so that i rejoiced the more.

Swahili

si tu kwa kule kuja kwake tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. jambo hili linanifurahisha sana.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and when you are sailing on ships and rejoicing in the favourable wind, a storm arrives, and the waves surge upon those on board from every side and they think they are encompassed, then they make a fervent appeal to god, saying in all sincerity, "if you deliver us from this, we will surely be of the thankful."

Swahili

hata mnapo kuwa majahazini na yakawa yanakwenda nao kwa upepo mzuri wakaufurahia, upepo mkali ukawazukia, na yakawajia mawimbi kutoka kila upande, na wakaona wamesha zongwa, basi hapo humwomba mwenyezi mungu kwa kumsafishia niya: ukituokoa na haya bila ya shaka tutakuwa miongoni mwa wanao shukuru.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,747,136,984 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK