Hai cercato la traduzione di jazeera da Inglese a Swahili

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

jazeera

Swahili

Ultimo aggiornamento 2021-03-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

i resigned from al jazeera today.

Swahili

ninaacha kazi al jazeera leo.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

al jazeera cameras are in tahrir live now.

Swahili

kamera za al jazeera ziko tahrir sasa hivi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

"you used to work for al jazeera, right?"

Swahili

"uliwahi kufanya kazi al jazeera, au siyo?"

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

al jazeera correspondent in cairo sherine tadros adds:

Swahili

mwandishi wa kituo cha televisheni cha al jazeera wa cairo sherine tadros anaongeza:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

according to al jazeera english, more than 40 people were killed.

Swahili

kwa mujibu wa idhaa ya kiingereza ya al jazeera, zaidi ya watu 40 wameuawa.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

it happened before with tv channels like orbit, dream tv and al jazeera mubshar misr.

Swahili

imeshawahi kutokea awali kwa vituo vya televisheni kama orbit, dream tv na al jazeera mubshar misr.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

al jazeera's live egypt service have been taken off air along with several other tv channels.

Swahili

matangazo ya moja kwa moja ya al jazeera kutoka misri yameondolewa hewani pamoja na vituo vingine vya televisheni.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

for al jazeera, somalia speaks is also a chance to test innovative mobile approaches to citizen media and news gathering.

Swahili

kwa al jazeera, somalia speaks pia ni fursa ya kujaribu mbinu bunifu za simu za mkononi katika uanahabari wa kiraia na ukusanyaji habari.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

al jazeera’s the stream has been the only internationally acknowledged mainstream outlet that has highlighted the gravity of the hunger strike.

Swahili

chombo cha habari cha al jazeera ndicho cha pekee kilichokubalika kama chombo cha kikuu cha habari cha kimataifa kilicho onyesha kiwango cha mgomo wa kutokula.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

news releases (reuters, al jazeera) report up to 25 deaths as images are currently streaming on national tv.

Swahili

habari rasmi (kwa mujibu wa reuters, al jazeera) zinaeleza kuwa vifo vinafikia 25 kwa kadiri ya picha zinavyozidi kumiminika kwenye televisheni ya taifa.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

al jazeera's azad essa (@azadessa) questioned the african union's assessment of the election:

Swahili

azad essa wa al jazeera(@azadessa) alihoji tathmini ya umoja wa afrika kwa uchaguzi huo:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

@nezar: al jazeera cable has recently become to islamists in egypt what fox news has been to fundamentalist republicans in the us for many years.

Swahili

@nezar: kituo cha jazeera kwa muda wa hivi karibuni kimekuwa cha kiislamu kama ambavyo fox news kimekuwa cha wahafidhina wa republican nchini marekani kwa miaka mingi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

after morsi was removed from office by the army, al jazeera's live egypt service, al jazeera mubasher, was immediately taken off air.

Swahili

baada ya morsi kuondolewa madarakani na jehsi, matangazo ya moja kwa moja kutoka misri ya kituo hicho cha al jazeera, yaitwayo al jazeera mubasher, ghafla yalikatika.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

al jazeera has come under fire in egypt for what many describe as its "biased" reporting during and following the ousting of former egyptian president mohamed morsi on july 4.

Swahili

al jazeera iko kwenye wakati mgumu nchini misri kwa kile kinachoelezwa na wengi kuwa ni "upendeleo" wake katika kutangaza habari zake wakati na baada ya kuondolewa madarakani kwa rais wa zamani wa misri mohamed morsi mnamo julai 4.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

reports that the nsa and allied spy agencies surveilled journalists-including a report that the nsa hacked al-jazeera-create a chilling effect on the press.

Swahili

taarifa kwamba shirika la usalama wa taifa hilo na mashirika rafiki ya upelelezi yaliwafuatilia waandishi-ikiwa ni pamoja na taarifa kwamba shirika la usalama la marekani (nsa) liliingilia mawasiliano ya al-jazeera-zinaleta athari mbaya kwenye vyombo vya habari.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

a project that many believe in, judging by the sponsors: from al jazeera, to the ministry of foreign affairs of the netherlands, to the international organisation for migration and the european union fund for repatriation.

Swahili

mradi ambao wengi wanauamini, wakiupima kwa kuzingatia wafadhili wake: kutoka al jazeera, hadi wizara ya mambo ya nje ya uholanzi, hadi shirika la kimataifa la uhamiaji pamoja na mfuko wa umoja wa ulaya wa urudishaji wa wahamiaji makwao.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

"we wanted to find out the perspective of normal somali citizens to tell us how the crisis has affected them and the somali diaspora," al jazeera's soud hyder said in an interview.

Swahili

“tulitaka tupate mitizamo ya raia wa kawaida wa somalia ili kwamba ituambie jinsi ambavyo mgogoro ulivyowaathiri wao pamoja na wasomali walio ighaibuni,” soud hyder wa al jazeera alisema katika mahojiano.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

@elijahzarwan: al-jazeera egypt staff resign after ‘biased coverage’: resigning june 1 wld have been courageous http://tinyurl.com/mjculx8

Swahili

@elijahzarwan: mfanyakazi wa al-jazeera misri ameacha kazi kwa sababu ya "habari za upendeleo": angeacha kazi tarehe 1 june angekuwa ushujaa http://tinyurl.com/mjculx8

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,793,956,762 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK