Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
i am suffering from malaria
i m suffering from malaria in kiswahihli
Ultimo aggiornamento 2021-04-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
the government prioritises maternal health and malaria.
serikali imeipa kipaumbele afya ya uzazi na ugonjwa wa malaria.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
malaria as a risk factor for covid 19 in western kenya
tafsiri kwa ajili yangu hii malaria kama sababu ya hatari ya covid 19 katika kenya ya magharibi
Ultimo aggiornamento 2020-07-30
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
other programs target specific problems such as sickle-cell anemia or malaria.
miradi mingine inalenga kushughulika na changamoto zenye kuhitaji ufuatiliaji wa karibu zaidi kama vile ugonjwa wa upungufu wa damu au malaria.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
seven trials were evaluating already approved treatments for malaria, including four studies on hydroxychloroquine or chloroquine.
majaribio saba yalikuwa yanatathmini matibabu yaliyothibitishwa tayari ya ugonjwa wa malaria, ikiwemo tafiti nne za hydroxychloroquine au chloroquine.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
seven trials were evaluating repurposed drugs already approved to treat malaria, including four studies on hydroxychloroquine or chloroquine phosphate.
majaribio saba yalikuwa yakikagua dawa zilizotumika vingine na zilizoidhinishwa kutibu ugonjwa wa malaria, ikiwemo utafiti nne wa hydroxychloroquine au chloroquine phosphate.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
some take a plane to get treated for hay fever, while others are pushing up daisies because they can’t afford basic malaria treatment.
baadhi wanapanda ndege kwenda kutibiwa 'aleji', wakati wengine wengi wakitegemea mizizi ya mitishamba kwa sababu tu hawawezi kumudu matibabu ya kawaida kabisa ya malaria.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
phase iii clinical trials are being conducted in the us, china and italy.chloroquine, previously used to treat malaria, was studied in china in february 2020, with preliminary results.
majaribio ya awamu ya iii ya kliniki yanaendeshwa nchini marekani, china na italia. kloroquini, ambayo awali ilitumika kutibu malaria ilifanyiwa utafiti nchini china mnamo februari 2020, kwa kutumia matokeo ya awali.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
all discussions will be led by featured opinion leaders, decision makers and ngo members, including youssou n'dour , famous senegalese singer, deeply engaged in the fight against malaria, iqbal z. quadir, founder of grameenphone in bangladesh, and even ethan zuckerman, co-founder of global voices online.
majadiliano yote yatakuwa yakiendeshwa na watoa maoni viongozi walioteuliwa, watoa uamuzi na wanachama wa asasi zisizo za serikali, ikiwa ni pamoja na youssou n'dour , mwimbaji maarufu wa kutoka senegali, ambaye anajishughulisha sana na kupiga vita ugonjwa wa malaria, iqbal z. quadir, ambaye ni mwanzilishi wa grameenphone huko bangladesh,na hata ethan zuckerman, ambaye ni mwanzilishi mwenza wa global voices online.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: