Hai cercato la traduzione di narrative da Inglese a Swahili

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

narrative

Swahili

hadithi

Ultimo aggiornamento 2024-02-20
Frequenza di utilizzo: 11
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Inglese

narrative means in swahili

Swahili

mnadhimu maana yake kwa kiswahili

Ultimo aggiornamento 2020-01-09
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

lo! this verily is the true narrative.

Swahili

hakika haya ndiyo maelezo ya kweli.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

we must oppose narrative blaming route selection.

Swahili

tunapaswa kupinga maelezo ya kulalamikia uchaguzi wa uelekeo.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

bedi's narrative corroborates with the above photographic evidence.

Swahili

maelezo ya bedi yanaunga mkono ushahidi wa picha uliotangulia kutolewa.

Ultimo aggiornamento 2024-04-14
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

juwelsm argued that africans should drive their own narrative:

Swahili

juwelsm alihoji kwamba waafrika waanze kuamua mambo gani yana uzito kwao:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

you can depend of pm dmitry medvedev to provide a sense of stability and narrative.

Swahili

ungeweza kumtegemea waziri mkuu dmitry medvedev kuweka mambo katika hali ya utulivu na angalau kutoa maelezo.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

this debate is taking a worrisome path towards a narrative hostile and discriminatory towards the roma community.

Swahili

mjadala huu unaendeleza mwelekeo wa kusikitisha: matamshi ya kibaguzi na ya uchochezi dhidi ya jamii ya warumi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

after kony 2012, "what i love about africa" reclaims narrative · global voices

Swahili

baada ya kony 2012, "what i love about africa" yanyakua mazungumzo

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

you can read a narrative version of this story on boing boing, as well as the full set of tweets & reactions on doha news.

Swahili

unaweza kusoma nakala iliyo katika muundo wa simulizi ya habari hii kupitia boing boing, na vilevile seti kamili ta twita & miitiko kupitia doha news.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

this undoubtedly is the true narrative; there is none worthy of worship except allah; and allah is the almighty, the wise.

Swahili

hakika haya ndiyo maelezo ya kweli. na hakuna mungu ila mwenyezi mungu tu, na hakika mwenyezi mungu ndiye mwenye nguvu na mwenye hikima.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

it is not a narrative which could be forged, but a verification of what is before it and a distinct explanation of all things and a guide and a mercy to a people who believe.

Swahili

si maneno yaliyo zuliwa, bali ni ya kusadikisha yaliyo kabla yake, na ufafanuzi wa kila kitu, na ni uwongofu na rehema kwa kaumu yenye kuamini.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

and recite to them the narrative of him to whom we give our communications, but he withdraws himself from them, so the shaitan overtakes him, so he is of those who go astray.

Swahili

na wasomee khabari za yule ambaye tulimpa ishara zetu, naye akajivua nazo. na shet'ani akamuandama, akawa miongoni walio potea.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

“from the policy landscape to the public narrative regarding free speech and privacy, the snowden revelations have strengthened the state's argument for surveillance.”

Swahili

“kuanzia kwenye mwonekano wa sera hadi kwenye maelezo yanayotolewa kwa umma kuhusu uhuru wa habari na faragha, kutobolewa siri kulikofanywa na snowden kumeimarisha hoja za serikali nyingi kueteta vtendo vya udukuzi.”

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Inglese

features of reminder in literary narratives

Swahili

sifa za mawaidha katika fasihi simulizi

Ultimo aggiornamento 2018-04-26
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,775,951,016 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK