Chiedi a Google

Hai cercato la traduzione di provocation da Inglese a Swahili

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

If a provocation from satan should provoke you, seek refuge in Allah.

Swahili

Na Shet'ani akikuchochea kwa uchochezi wewe jikinge kwa Mwenyezi Mungu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

And if you are prompted by a provocation from Satan, seek refuge with Allah.

Swahili

Na Shet'ani akikuchochea kwa uchochezi wewe jikinge kwa Mwenyezi Mungu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

Harden not your hearts, as in the provocation, in the day of temptation in the wilderness:

Swahili

msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu; kama walivyokuwa siku ile kule jangwani,

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

While it is said, To day if ye will hear his voice, harden not your hearts, as in the provocation.

Swahili

Maandiko yasema hivi: "Kama mkisikia sauti ya Mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu."

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

The author of the article, who remained anonymous, concluded that the entire story is provocation prepared by Muhammad Salih to destabilize Uzbek society and gain international attention.

Swahili

Mwandishi wa makala hiyo ambaye hakujifahamisha, alihitimisha kuwa habari hii yote ni uchochezi ulioandaliwa na Muhammad Salih ili kutikisa jamii ya Uzbek na kutafuta kujulikana kimataifa.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

If a provocation from Satan should provoke thee, seek refuge in God; He is All-hearing, All-seeing.

Swahili

Na uchochezi wa Shet'ani ukikuchochea basi omba ulinzi wa Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ni Msikizi, Mjuzi.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

If a provocation from Satan should provoke thee, seek refuge in God; He is the All-hearing, the All-knowing.

Swahili

Na Shet'ani akikuchochea kwa uchochezi wewe jikinge kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

Those claiming to be ready to fight until the end for freedom, (...) are denouncing an intolerable provocation when Amina expressed herself(...)

Swahili

Wale waliodai kuwa tayari kupambana mpaka mwisho kwa ajili ya uhuru, (...) wanakemea uchochezi usiovumilika wakati Amina alipojielezea (...)

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

Twitter hashtags #freekg (the major hashtag of the event), #bishkek, #kyrgyzstan and #talas, although filled with re-tweets and various provocations, made it possible for English-speaking audience to follow the events as well.

Swahili

Hashi za Twita #freekg (ambayo ndiyo hashi kuu ya tukio zima) #bishkek, #kyrgyzstan na #talas, ingawa imejaa Twita zilizotumwa upya na uchokozi mwingi, vyote viliwezesha wafuatiliaji wanaozungumza lugha ya Kiingereza kufuatilia yale yaliyokuwa yakiendelea.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
4,401,923,520 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK