Hai cercato la traduzione di the unknown da Inglese a Swahili

Inglese

Traduttore

the unknown

Traduttore

Swahili

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Inglese

Swahili

Informazioni

Inglese

he has the keys of the unknown.

Swahili

na ziko kwake funguo za ghaibu; hakuna azijuaye ila yeye tu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

has he knowledge of the unknown that he perceives everything?

Swahili

je! anayo huyo ilimu ya ghaibu, basi ndio anaona?

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

president bakiev left for the unknown location on his plane.

Swahili

rais bakiev alikimbilia kusikojulikana kwa kutumia ndegeyake.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

or do they have knowledge of the unknown which they copy down?

Swahili

au iko kwao siri, basi wao wanaiandika?

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

or do they have knowledge of the unknown which they write down?

Swahili

au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika?

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

by my lord, the knower of the unknown, it will certainly come for you.

Swahili

hapana shaka itakufikieni, naapa kwa haki ya mola wangu mlezi, mwenye kujua ya ghaibu!

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

we bear witness to only what we know; we could not prevent the unknown.

Swahili

na sisi hatutoi ushahidi ila kwa tunayo yajua. wala sisi hatukuwa wenye kuhifadhi mambo ya ghaibu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

he is the knower of the known and the unknown, the mighty and most high.

Swahili

yeye ndiye mwenye kujua yanayo onekana na yasio onekana; mkuu aliye tukuka.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

has he peeped into the unknown, or obtained a promise from ar-rahman?

Swahili

kwani yeye amepata khabari za ghaibu, au amechukua ahadi kwa arrahmani mwingi wa rehema?

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

he is god; there is no god but he, the knower of the unknown and the known.

Swahili

yeye ndiye mwenyezi mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa yeye tu. mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

this is news of the unknown we reveal to you, which neither you nor your people knew before.

Swahili

hizi ni katika khabari za ghaibu tunazo kufunulia. hukuwa ukizijua wewe, wala watu wako, kabla ya hii.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

such is (he) the knower of the unknown and the known, the mighty and the merciful,

Swahili

huyu ndiye mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayo onekana. mwenye nguvu, mwenye kurehemu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

you will then be sent back to him who knows the unknown and the known, who will tell you what you used to do.

Swahili

kisha mtarudishwa kwa mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. hapo atakwambieni mliyo kuwa mkiyatenda.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

and they will say, “five, and their sixth being their dog,” guessing at the unknown.

Swahili

na wanasema: walikuwa watano, wa sita wao ni mbwa wao. wanavurumisha ovyo.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

if i had the knowledge of the unknown i would have enjoyed abundance of the good, and no evil would have touched me.

Swahili

na lau kuwa ninayajua ya ghaibu ninge jizidishia mema mengi, wala ovu lisinge nigusa.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

god will not leave the believers in the state they are in till he has sifted the evil from the good; nor will god reveal the secrets of the unknown.

Swahili

haiwi kwa mwenyezi mungu kuwaacha waumini katika hali mliyo nayo mpaka apambanue wabaya na wema. wala haiwi kwa mwenyezi mungu kukujuulisheni mambo ya ghaibu.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

say: "no one in the heavens and the earth has knowledge of the unknown except god, nor can they know when they will be raised again.

Swahili

sema: hapana katika mbingu na ardhi ajuaye ya ghaibu isipo kuwa mwenyezi mungu. wala wao hawajui lini watafufuliwa.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Inglese

this is news of the unknown we reveal to you, for you were not present when joseph's brothers agreed on their course of action, and devised their plot.

Swahili

hizi ni katika khabari za ghaibu tulizo kufunulia. na hukuwa pamoja nao walipo azimia shauri yao, walipo fanya njama zao wakizua vitimbi.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

for as i passed by, and beheld your devotions, i found an altar with this inscription, to the unknown god. whom therefore ye ignorantly worship, him declare i unto you.

Swahili

sababu yenyewe ni kwamba katika pitapita yangu niliangalia sanamu zenu za ibada nikakuta madhabahu moja ambayo imeandikwa: kwa ajili ya mungu yule asiyejulikana. basi, huyo mnayemwabudu bila kujua, ndiye ninayemhubiri kwenu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Inglese

this is news of the unknown that we send you, for you were not there when they cast lots with quills (to determine) who should take care of mary, nor when they disputed it.

Swahili

hizi ni khabari za ghaibu tunazo kufunulia; nawe hukuwa nao walipo kuwa wakitupa kalamu zao nani wao atamlea maryamu, na hukuwa nao walipo kuwa wakishindana.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,884,083,727 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK