Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
circumcisus aliquis vocatus est non adducat praeputium in praeputio aliquis vocatus est non circumcidatu
kama mtu aliitwa akiwa ametahiriwa, basi asijisingizie kwamba hakutahiriwa; na kama alipoitwa hakuwa ametahiriwa, basi na asitahiriwe.
circumcisio quidem prodest si legem observes si autem praevaricator legis sis circumcisio tua praeputium facta es
kutahiriwa kwako kutakuwa na maana kama ukiitii sheria. lakini kama unaivunja sheria, basi, ni afadhali ungalibaki bila kutahiriwa.
ubi non est gentilis et iudaeus circumcisio et praeputium barbarus et scytha servus et liber sed omnia et in omnibus christu
katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya mgiriki na myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.
propter quod memores estote quod aliquando vos gentes in carne qui dicimini praeputium ab ea quae dicitur circumcisio in carne manufact
ninyi mlio kwa asili watu wa mataifa mengine--mnaoitwa, "wasiotahiriwa" na wayahudi ambao hujiita, "waliotahiriwa," (kwa sababu ya kile wanachoifanyia miili yao) --kumbukeni mlivyokuwa zamani.
et signum accepit circumcisionis signaculum iustitiae fidei quae est in praeputio ut sit pater omnium credentium per praeputium ut reputetur et illis ad iustitia
abrahamu alitahiriwa baadaye, na kutahiriwa huko kulikuwa alama iliyothibitisha kwamba mungu alimkubali kuwa mwadilifu kwa sababu ya imani yake aliyokuwa nayo kabla ya kutahiriwa. kwa hiyo, abrahamu amekuwa baba wa wale wote ambao, ingawa hawakutahiriwa, wamemwamini mungu, wakafanywa waadilifu.