Hai cercato la traduzione di parientes da Spagnolo a Swahili

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Spanish

Swahili

Informazioni

Spanish

parientes

Swahili

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Spagnolo

Swahili

Informazioni

Spagnolo

interferencia de parientes - 9000

Swahili

kuingiliwa na ndugu - 9000

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

aquellos que tienen parientes van a vivir con ellos.

Swahili

wale walio na ndugu wamekwenda kuishi nao kwenye nyumba zao.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

también vi a algunos llorando porque habían perdido a sus parientes.

Swahili

kadhalika niliwaona waliokuwa wakilia kwa ajili ya kuwapoteza ndugu zao.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

el día de la resurrección no os aprovecharán ni vuestros parientes ni vuestros hijos.

Swahili

hawatakufaeni jamaa zenu, wala watoto wenu siku ya kiyama.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

nuestro equipo está llamado a los parientes más cercanos de los pasajeros y la tripulación.

Swahili

timu yetu kwa sasa inawapigia simu warithi wa abiria na wafanyakazi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

parientes de trabajadores desaparecidos o muertos se mantienen optimistas aun 17 días después del incidente.

Swahili

jukumu la vyombo vya habari lilihojiwa pale walipohamia kwa begum na kujaribu kumhoji.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

los vecinos y los parientes oyeron que dios había engrandecido su misericordia hacia ella y se regocijaron con ella

Swahili

jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

suponiendo que él estaba en la caravana, fueron un día de camino y le buscaban entre los parientes y los conocidos

Swahili

walidhani alikuwa pamoja na kundi la wasafiri, wakaenda mwendo wa kutwa, halafu wakaanza kumtafuta miongoni mwa jamaa na marafiki.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

aún más, los parientes se negaron a enterrar a sus seres queridos hasta que sus demandas fueran tomadas en cuenta.

Swahili

zaidi, ndugu wa marehemu walikataa kuzika miili ya ndugu zao waliofariki mpaka pale madai yao yatakapotatuliwa.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

di: «yo no os pido salario a cambio, fuera de que améis a los parientes».

Swahili

sema: sikuombeni malipo yoyote kwenu ila mapenzi katika kujikurubisha.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

alá prescribe la justicia, la beneficencia y la liberalidad con los parientes. prohíbe la deshonestidad, lo reprobable y la opresión.

Swahili

hakika mwenyezi mungu anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa; na anakataza uchafu, na uovu, na dhulma.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

saludad a andrónico y a junias, mis parientes y compañeros de prisiones, quienes son muy estimados por los apóstoles y también fueron antes de mí en cristo

Swahili

salamu zangu kwa androniko na yunia, wananchi wenzangu waliofungwa gerezani pamoja nami; wao wanajulikana sana kati ya mitume; tena walikuwa wakristo kabla yangu mimi.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

a medida que los aterrorizados moscovitas empezaron a verificar si sus amigos o parientes estaban vivos, la red de telefonía celular en el centro de moscú dejó de funcionar.

Swahili

wakati wakazi waliokuwa na hofu wa jiji la moscow walipoanza kuangalia kama ndugu na marafiki wapo hai, mtandao wa simu za mikononi katikati ya jiji la moscow ulikatika.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

hemos designado para todos herederos legales de lo que dejen: los padres, los parientes más cercanos, los unidos a vosotros por juramento.

Swahili

na kila mmoja tumemwekea warithi katika waliyo yaacha wazazi wawili na jamaa. na mlio fungamana nao ahadi wapeni fungu lao.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

el profeta y los creyentes no deben pedir el perdón de los asociadores, aunque sean parientes suyos, después de haber visto claramente que morarán en el fuego de la gehena.

Swahili

haimpasii nabii na wale walio amini kuwatakia msamaha washirikina, ijapo kuwa ni jamaa zao, baada ya kwisha bainika kuwa hao ni watu wa motoni.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

di «los bienes que gastéis, que sean para los padres, los parientes más cercanos, los huérfanos, los necesitados y el viajero».

Swahili

sema: kheri mnayo itoa ni kwa ajili ya wazazi na jamaa na mayatima na masikini na wasafiri.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

nos fuimos hacia el norte y nos unimos a otras personas que se preocupan y se sienten indignadas por la masacre que tuvo lugar en la población de lobos. miro a mi mitzi y no puedo decir que sus parientes más cercanos están de acuerdo con la matanza solo porque si.

Swahili

tulipanda kaskazini na kuungana na wengine wanaojali na kukerwa na uuaji unaofanywa dhidi ya idadi ya mbwa mwitu. ninamwangalia mitzi wangu na siwezi kusema kuwa ndugu zake wa karibu wanajisikia vyema kuua kwa sababu tu ya kuua.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

sin embargo, cuando un presidente ha estado en el poder durante 23 años y empieza a rodearse de parientes, amigos y parientes políticos, empieza a parecerse más a un jefe de aldea inclinado a su linaje antes que un demócrata reformador.

Swahili

hata hivyo, pale ambapo rais aliyekaa madarakani kwa miaka 23 anaanza kujirundikia ndugu, marafiki, mashemeji karibu yake, basi si aghalabu kuwa anaweza kufananishwa na chifu wa ukoo fulani mwenye makusudi ya kuhakikisha utawala unabaki katika ukoo wake kuliko kuleta mageuzi ya kweli ya kidemokrasi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Spagnolo

a un pariente próximo huérfano,

Swahili

yatima aliye jamaa,

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,791,794,789 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK