Hai cercato la traduzione di mimi na taka umekwenda wa safari da Swahili a Amarico

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Amharic

Informazioni

Swahili

mimi na taka umekwenda wa safari

Amharic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Amarico

Informazioni

Swahili

mimi na baba, tu mmoja."

Amarico

እኔና አብ አንድ ነን።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

atakaye nirithi mimi na awarithi ukoo wa yaaqub . ewe mola wangu mlezi !

Amarico

« የሚወርሰኝ ከያዕቆብ ቤተሰቦችም የሚወርስ የሆነን ( ልጅ ) ፡ ፡ ጌታዬ ሆይ ! ተወዳጅም አድርገው ፡ ፡ »

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mola wangu mlezi ! niokoe mimi na ahali zangu na haya wayatendayo .

Amarico

« ጌታዬ ሆይ ! እኔንም ቤተሰቦቼንም ከሚሠሩት ሥራ ( ቅጣት ) አድነን ፡ ፡ »

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtu akinionea aibu mimi na mafundisho yangu, mwana wa mtu atamwonea aibu mtu huyo wakati atakapokuja katika utukufu wake na wa baba na wa malaika watakatifu.

Amarico

በእኔና በቃሌ የሚያፍር ሁሉ፥ የሰው ልጅ በክብሩ በአባቱና በቅዱሳን መላእክቱ ክብርም ሲመጣ በእርሱ ያፍርበታል።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hapana mungu ila mimi tu . basi niabudu mimi , na ushike sala kwa ajili ya kunikumbuka mimi .

Amarico

« እኔ አላህ እኔ ነኝ ያለ እኔ አምላክ የለምና ተገዛኝ ፡ ፡ ሶላትንም ( በእርሷ ) እኔን ለማውሳት ስገድ ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi hukumu baina yangu na wao kwa hukumu yako , na uniokoe mimi na walio pamoja nami , waumini .

Amarico

« በእኔና በእነርሱም መካከል ( ተገቢ ) ፍርድን ፍረድ ፡ ፡ አድነኝም ፡ ፡ ከእኔ ጋር ያሉትንም ምእምናን ፡ ፡ »

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mola wetu ! unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili , na waumini , siku ya kusimama hisabu .

Amarico

« ጌታችን ሆይ ! ለእኔም ለወላቼም ለምእመናንም ሁሉ ምርመራ በሚደረግበት ቀን ማር ፡ ፡ »

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

na mwenyezi mungu amekujaalieni majumba yenu yawe ni maskani yenu , na amekujaalieni kutokana na ngozi za wanyama nyumba mnazo ziona nyepesi wakati wa safari zenu na wakati wa kutua kwenu . na kutokana na sufi zao na manyoya yao na nywele zao mnafanya matandiko na mapambo ya kutumia kwa muda .

Amarico

አላህም ከቤቶቻችሁ ለእናንተ መርጊያን አደረገላችሁ ፡ ፡ ከእንስሳዎችም ቆዳዎች በጉዟችሁ ቀን በመቀመጫችሁም ቀን የምታቀልላቸውን ቤቶች ለናንተ አደረገላችሁ ፡ ፡ ከበግዋ ሱፎች ፣ ከግመልዋም ጠጉሮች ፣ ከፍየልዋም ጠጉሮች የቤት ዕቃዎችን እስከ ጊዜም ድረስ መጠቃቀሚያን ( አደረገላችሁ ) ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwenyezi mungu ameandika : hapana shaka mimi na mtume wangu tutashinda . hakika mwenyezi mungu ni mwenye nguvu , mwenye kushinda .

Amarico

አላህ ፡ - « እኔ በእርግጥ አሸንፋለሁ ፣ መልክተኞቼም ( ያሸንፋሉ ) » ሲል ፤ ጽፏል ፡ ፡ አላህ ብርቱ አሸናፊ ነውና ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

na ibrahim alipo sema : ewe mola wangu mlezi ! ujaalie mji huu uwe wa amani , na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu .

Amarico

ኢብራሂምም ባለ ጊዜ ( አስታውስ ) « ጌታዬ ሆይ ! ይህንን አገር ( መካን ) ጸጥተኛ አድርገው ፡ ፡ እኔንም ልጆቼንም ጣዖታትን ከመገዛት አርቀን ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

na ikiwa watakushikilia unishirikishe mimi na usiyo kuwa na ujuzi nayo , basi usiwat'ii . kwangu mimi ndio marejeo yenu , na nitakwambieni mliyo kuwa mkiyatenda .

Amarico

ሰውንም በወላጆቹ መልካም አድራጎትን አዘዝነው ፡ ፡ ላንተም በእርሱ ዕውቀት የሌለህን ( ጣዖት ) በእኔ እንድታጋራ ቢታገሉህ አትታዘዛቸው ፡ ፡ መመለሻችሁ ወደኔ ነው ፡ ፡ ትሠሩት የነበራችሁትንም ሁሉ እነግራችኋለሁ ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nighufirie mimi na wazazi wangu , na kila aliye ingia nyumbani mwangu kuwa ni mwenye kuamini , na waumini wote wanaume , na waumini wanawake . na wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea .

Amarico

« ጌታዬ ሆይ ! ለእኔም ለወላጆቼም ምእመን ኾኖ በቤቴ ለገባም ሰው ሁሉ ለምእመናንና ለምእምናትም ምሕረት አድርግ ፡ ፡ ከሓዲዎችንም ከጥፋት በቀር አትጨምርላቸው ፤ » ( አለ ) ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu , na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili . ( tumemuusia ) : nishukuru mimi na wazazi wako .

Amarico

ሰውንም በወላጆቹ ( በጎ እንዲያደርግ ) በጥብቅ አዘዝነው ፡ ፡ እናቱ ከድካም በላይ በሆነ ድካም አረገዘችው ፡ ፡ ጡት መጣያውም በሁለት ዓመት ውስጥ ነው ፡ ፡ ለእኔም ለወላጆችህም አመስግን በማለት ( አዘዝነው ) ፡ ፡ መመለሻው ወደኔ ነው ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi ( sulaiman ) akatabasamu akacheka kwa neno hili , na akasema : ee mola wangu mlezi ! nizindue niishukuru neema yako uliyo nineemesha mimi na wazazi wangu , na nipate kutenda mema uyapendayo , na uniingize kwa rehema yako katika waja wako wema .

Amarico

ከንግግርዋም እየሳቀ ጥርሱን ፈገግ አደረገ ፡ ፡ « ጌታዬ ሆይ ! ያቺን በእኔና በወላጆቼ ላይ የለገስካትን ጸጋህን እንዳመሰግን የምትወደውንም በጎ ሥራ እንድሠራ ምራኝ ፡ ፡ በችሮታህም በመልካሞቹ ባሮችህ ውስጥ አግባኝ » አለ ፡ ፡

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,777,747,536 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK