Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
yesu akamwambia, "msipoona ishara na maajabu hamtaamini!"
فقال له يسوع لا تؤمنون ان لم تروا آيات وعجائب.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
miujiza na maajabu mengi yalifanyika kwa njia ya mitume hata kila mtu akajawa na hofu.
وصار خوف في كل نفس. وكانت عجائب وآيات كثيرة تجرى على ايدي الرسل.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
miujiza na maajabu yaonyeshayo wazi kwamba mimi ni mtume yalifanyika miongoni mwenu kwa uvumilivu wote.
ان علامات الرسول صنعت بينكم في كل صبر بآيات وعجائب وقوات.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
huyo mwovu atakuja na nguvu za shetani na kufanya kila namna ya miujiza na maajabu ya uongo,
الذي مجيئه بعمل الشيطان بكل قوة وبآيات وعجائب كاذبة
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mitume walifanya miujiza na maajabu mengi kati ya watu. waumini walikuwa wakikutana pamoja katika ukumbi wa solomoni.
وجرت على ايدي الرسل آيات وعجائب كثيرة في الشعب. وكان الجميع بنفس واحدة في رواق سليمان.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wote wakashangaa na kushikwa na hofu; wakamtukuza mungu wakisema: "tumeona maajabu leo."
فأخذت الجميع حيرة ومجدوا الله وامتلأوا خوفا قائلين اننا قد رأينا اليوم عجائب
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
hata simoni aliamini; baada ya kubatizwa ilikuwa akiandamana na filipo, akastaajabia maajabu na miujiza iliyokuwa inafanyika.
وسيمون ايضا نفسه آمن. ولما اعتمد كان يلازم فيلبس. واذ رأى آيات وقوات عظيمة تجرى اندهش
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
maana watatokea kina kristo wa uongo na manabii wa uongo. watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa mungu.
لانه سيقوم مسحاء كذبة وانبياء كذبة ويعطون آيات عظيمة وعجائب حتى يضلوا لو امكن المختارين ايضا.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
maana watatokea kina kristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu, ili kuwapotosha wateule wa mungu, kama ikiwezekana.
لانه سيقوم مسحاء كذبة وانبياء كذبة ويعطون آيات وعجائب لكي يضلوا لو امكن المختارين ايضا.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
akaenda kijijini kwake. huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi hata wakashangaa, wakasema, "huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?
ولما جاء الى وطنه كان يعلّمهم في مجمعهم حتى بهتوا وقالوا من اين لهذا هذه الحكمة والقوات.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kwa nguvu ya miujiza na maajabu, na kwa nguvu ya roho wa mungu. basi, kwa kusafiri kila mahali, tangu kule yerusalemu mpaka iluriko, nimeihubiri kikamilifu habari njema ya kristo.
بقوّة آيات وعجائب بقوة روح الله. حتى اني من اورشليم وما حولها الى الليريكون قد اكملت التبشير بانجيل المسيح.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
uzoefu mzuri ajabu sana, kwa sababu wengi wa watoto hawa hawjawahi kuona televisheni, achilia mbali ndege inayopaa angani; mchanganyiko wa mvuto, msisimko na maajabu ya wanachokiona ndilo lilikuwa likionekana kwenye nyuso zao.
تجربة مذهلة بحق، لم ير كثير من هؤلاء الأطقال تلفاز يعمل أبداً، ناهيك عن طائرة تعمل بدون طيار؛ كان أمراً ممتعاً رؤية المزيج من الدهشة، والذعر، والتعجب على وجوههم.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"wananchi wa israeli, sikilizeni maneno haya! yesu wa nazareti alikuwa mtu ambaye mamlaka yake ya kimungu yalithibitishwa kwenu kwa miujiza, maajabu na ishara mungu alizofanya kati yenu kwa njia yake, kama mnavyojua.
ايها الرجال الاسرائيليون اسمعوا هذه الاقوال. يسوع الناصري رجل قد تبرهن لكم من قبل الله بقوات وعجائب وآيات صنعها الله بيده في وسطكم كما انتم ايضا تعلمون.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta