Hai cercato la traduzione di majibu da Swahili a Arabo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Arabic

Informazioni

Swahili

majibu

Arabic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

diana alzeer alitarajia kupata majibu zaidi:

Arabo

@ismaeilfadel: لا زلنا بإنتظار تعليق من السلطة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hesham mansour alitoa majibu yake mwenyewe ya kejeli:

Arabo

اثار الدم في غرفة نومنا بعد ان ضربته الداخلية

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

majibu kuhusu astakos, http://tinyurl.com/9ts6xw

Arabo

gr التابعة لـ indymedia athens group بترجمة القصة إلى اليونانية.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wote waliosikia maneno yake walistaajabia akili yake na majibu yake ya hekima.

Arabo

وكل الذين سمعوه بهتوا من فهمه واجوبته.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tumaini langu pekee ni kwamba tunaweza kuwa imara kiasi cha kutoa majibu yaliyo kinyume na yale yaliyotarajiwa na wahalifu wa mashambulizi haya.

Arabo

وأملي الوحيد هو أن نبقى أقوياء لنعمل على توليد استجابة معاكسة لما كان يرغب به هؤلاء المجرمون.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

alishiriki pia katika kipindi cha maswali na majibu na waandishi wa habari kufuatia hukumu hiyo mnamo machi 14 akieleza pamoja na mambo mengine umuhimu wa picha za video katika uendeshaji mashitaka.

Arabo

ثم شارك في مؤتمر صحفي تبع الجلسة شرح فيه للصحافيين أهمية شريط الفيديو مع أمور أخرى للمحاكمة.

Ultimo aggiornamento 2024-01-17
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tunashauri uwe na majibu mafupi na ya bayana (kukiwa na idadi ya herufi zisizotakiwa kuzidi) kukusaidia kuweka sawa mawazo yako kuwa kile kinachohitajika zaidi.

Arabo

نشجعكم على كتابة إجابات موجزة (حيث هناك حد اقصى للحروف) لمساعدتكم على تنظيم أفكاركم تجاه الأمور الأكثر أهمية.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuanzia furaha mpaka kutia shaka, na kejeli mpaka hisia hasi, wananchi wa mtandaoni waliyapanga mawasiliano yanayohusiana na mashariki ya kati na afrika kaskazini, na kuwasha cheche za majadiliano, huku wakihoji nia na kutafuta majibu.

Arabo

من الفرح إلى التشكك، ومن السخرية إلى التهكم، حلل مستخدمو الانترنت باستمرار الوثائق المسربة المتعلقة بالوضع في الشرق الأوسط وشمال أفريقيا، مما أثار المناقشات وحملات التشكيك في الدوافع ومحاولات الحصول على إجابات.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

majibu ya baraza la kijeshi yalikuwa na mwelekeo wa kupandisha hasira za watu kama yalivyokuwa matamko ya kikundi cha muslim brotherhood, tukikumbuka matukio ya mwaka 1954 wakati kikundi hicho kilipobebeshwa lawama, kupigwa marufuku, kuwekwa kizuizini, na kuteswa na mamlaka za serikali.

Arabo

كانت استجابة المجلس العسكري مثيرة كبيان الإخوان المسلمين، مستحضرة أحداث 1954 عندما تم لوم الإخوان المسلمين، وحظرهم، والزج بأعضاء الجماعة في السجون، وتعذيبهم من قبل السلطات.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwanza kabisa huwa hatuna aina hii ya ushindanishaji nchini misri mara kwa mara, pili huna budi kutambua kwamba jambo hili liliendeshwa kwenye blogu ya nchini misri, washiriki wanaweza kusemwa kwamba ilikuwa ni sampuli ndogo sana katika jamii ya wa-misri "zaidi ya washiriki 120 kwenye blogu yake na zaidi ya washiriki 300 kwenye tukio katika face book" na kwa hiyo baadhi ya watu huenda watasema kwamba sampuli haikuwa wakilishi vya kutosha, hata hivyo, kwa namna ya kushangaza kabisa, baadhi ya majibu yanawakilisha maoni ya wa-misri walio wengi.

Arabo

كانت المفاجأة الحقيقة في اسم الشخصية العربية التالية والتي تظهر في القائمة أيضاً للمرة الأولى وتحتل المركز الثامن عشر بفارق بسيط عن الشيخ أحمد وتحصل على ثمانمائة وثلاثون ألف صوت بمتوسط 31 نقطة وهو جمال مبارك متقدماً على أسماء مثل بريتني سبيرز التي حلت في المركز الثلاثون وباراك أوباما في المركز السابع والثلاثون.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,794,320,252 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK